Ramadhan Special Thread

Hujui maandiko hebu soma vizuri hiyo Bible.
 
Mungu akulipe heri Hance Mtanashati
Akujaalie heri dunian na akhera
pamoja na waislamu wote kiujumla Insha Allah ramadhan njema
na katika dua zetu ndugu zangu tusiwasahau ndugu zetu wa turkey iraq libya yemeni na mataifa mengine ya middle east yaliyochafuliwa na wazayuni,ndani ya ramadhani hii Allah (s.w)awajalie umoja subra amani na utulivu
 
In ShaaAllah , Ameen. , na tusiwasahau masheikh wetu waliopo Segerea.
 
Twaib. Kwa lolote lenye kufunza kuhusu Mwezi wetu Mtukufu wa Ramadhani hapa ndio mahala pake. Msiache kutupatia. Tunategemea kupata vingi zaidi kutoka kwenye huu uzi.

Kwani hakuna mwenye kuvijua vyote.
Sikiliza Qur'ani tukufu kwa Sauti ya sheikh umpendae kwa kupitia simu yako ya mkononi

1. Shaikh Abu Bakr Al Shatri
Shaikh Abu Bakr Al Shatri
2. Sheikh Ali Alhuthaifiy
Sheikh Ali Alhuthaifiy
3. Sheikh Swalah Albudair
Sheikh Swalah Albudair
4. Sheikh Khaled Al-Qahtani
Sheikh Khaled Al-Qahtani
5. Sheikh Tawfeeq As-Swayegh
http://uongofu.com/index.php/home/k...ishari-alafasiy/645-sheikh-tawfeeq-as-swayegh
6. Sheikh Idrees Abkr
http://uongofu.com/index.php/home/k...heikh-mishari-alafasiy/643-sheikh-idrees-abkr
7. Sheikh Saud Al-Shuraim
http://uongofu.com/index.php/home/k...h-mishari-alafasiy/641-sheikh-saud-al-shuraim
8. Sheikh Abdulrahman Alsudaes
http://uongofu.com/index.php/home/k...hari-alafasiy/638-sheikh-abdulrahman-alsudaes
9. Sheikh Nasser Alqatami
http://uongofu.com/index.php/home/k...h-mishari-alafasiy/637-sheikh-nasser-alqatami
10. Sheikh Adel Al-Kalbany
http://uongofu.com/index.php/home/k...h-mishari-alafasiy/635-sheikh-adel-al-kalbany

Wasambazie waislamu upate ujira wa kusambaza.
 
Hivi Ramadhan waislamu wanafunga au wanabadili muda wa kula? Na je mnaposema Ramadhan ni mwezi wa kutenda mema je miezi mingine ni ya kutenda mambaya? Asalam Allykum
Miezi mitukufu ipo minne.ramadhani ni mmoja wapo.
Na una heshima kubwa.ni chuo cha kutenda mema.mwezi wa toba,mwezi wa kuchuma kheri
Mungu ana huruma.na sisi ndo maana ndani ya mwezi wa ramadhani malipo ya kutenda mema ni zaidi.kuliko miezi mingine
Tukitoka hapo haturuhusiwi kutenda dhambi.miezi mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…