Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Nazani utakuwa uwanja wa kuelemishana kuhusu huu mfungo wa Ramadhani tuu tumie vp ktk kutafuta radhi za Allah (s.w)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InshaallahNawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
Hujui maandiko hebu soma vizuri hiyo Bible.mkuu acha uchochezi kufunga imeamriwa na Allah
Quran 2:183 Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga saumu kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha mungu.
japo Aya hapo juu inatuambia kuwa, kumbe kufunga kwa ndugu zetu hawa ni kwa kulazimishwa na sio hiyari yao sasa:
1. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Adam alifunga Saumu/Ramadhani?
2. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Musa alifunga Saumu/Ramadani?
3. Wapi tunasoma katika Taurat kuwa Ibrahim alifunga Saumu/Ramadhani?
MAONI YANGU MSIJIFANYE WACHAMUNGU KIPINDI CHA KUFUNGA TU ILA MUENDELEE SIKU ZOTE KUEPUKA MATENDO MAOVU
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Alahu ya allamu ameen,muanzisha mada
Tusindikize na wewe.ukifika saa 6 mchana.unafunguliaNawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
Daku sio lazima sana, ilimradi nia iwepoAssalam aleykm warahmatullah wabatakatul! Naomba kujuzwa juu ya ulaj/ kutokula daku.Je nikiacha kula daku funga yangu itaswih?
Na avatar za mitego usituwekee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]Nawatakiwa mfungo mwema ndugu zangu!!! Allah awatangulie...
A'aleykum.Daku sio lazima sana, ilimradi nia iwepo
Waalaykum salaam, kefak?A'aleykum.
Twaib. Kwa lolote lenye kufunza kuhusu Mwezi wetu Mtukufu wa Ramadhani hapa ndio mahala pake. Msiache kutupatia. Tunategemea kupata vingi zaidi kutoka kwenye huu uzi.Waalaykum salaam, kefak?
[emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
In ShaaAllah , Ameen. , na tusiwasahau masheikh wetu waliopo Segerea.Mungu akulipe heri Hance Mtanashati
Akujaalie heri dunian na akhera
pamoja na waislamu wote kiujumla Insha Allah ramadhan njema
na katika dua zetu ndugu zangu tusiwasahau ndugu zetu wa turkey iraq libya yemeni na mataifa mengine ya middle east yaliyochafuliwa na wazayuni,ndani ya ramadhani hii Allah (s.w)awajalie umoja subra amani na utulivu
Sikiliza Qur'ani tukufu kwa Sauti ya sheikh umpendae kwa kupitia simu yako ya mkononiTwaib. Kwa lolote lenye kufunza kuhusu Mwezi wetu Mtukufu wa Ramadhani hapa ndio mahala pake. Msiache kutupatia. Tunategemea kupata vingi zaidi kutoka kwenye huu uzi.
Kwani hakuna mwenye kuvijua vyote.
Miezi mitukufu ipo minne.ramadhani ni mmoja wapo.Hivi Ramadhan waislamu wanafunga au wanabadili muda wa kula? Na je mnaposema Ramadhan ni mwezi wa kutenda mema je miezi mingine ni ya kutenda mambaya? Asalam Allykum