Ramadhan Special Thread

Hapa hatushindani wala hatutafuti mshindi,bali tunaelekezana.

Kubishana si katika tabia nja na hii si katika tabia yangu.

Nipo ...
Wew hutaki kuelekezwa nimeamua bora ubaki na ubishi wako
 
Mkuu maana ya karerm ni nini mbona wahangaika sana?

Ebu tuliza akili sio kila fatwaa wataka kuitawanya na kuitumia pasi na adillah.

Maana YA KARIM ni ipi katika lugha ya kiswahili?

Maana ya Karimu nimeilezea huko nyuma.

Nakuuliza swalo dogo. Wewe huu msemo wa "Ramadhani Kareem" umeutoa wapi?
 
Maana ya Karimu nimeilezea huko nyuma.

Nakuuliza swalo dogo. Wewe huu msemo wa "Ramadhani Kareem" umeutoa wapi?
Halafu ulicho elezea haupingi bali unakubaliana na Ramadhan Kareem
 
Sawa.

Ila naomba unijibu swali hili.

Msemo wa Ramadhani Kareem umeutoa wapi ? Kwenye Qur'aan au Hadithi au umeutoa wapi ?
Nitakujibu ila lazima na wew unijibu hili ni wapi kwenye Quran wamekataza kutamka neno Ramadhan Kareem
 
Nitakujibu ila lazima na wew unijibu hili ni wapi kwenye Quran wamekataza kutamka neno Ramadhan Kareem

Sawa, sababu mimi nimeanza kukuuliza swali,naomba unijibu kwanza kisha nikujibu swali lako.

Ila ngoja nikujibu kwa mtindo huu. Naomba unionyeshe kwenye Qur'aan namna ya kuswali sala tano kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Nipo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…