Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Nikuonyeshe namna ya kuswali swala tano hakika imenishangaza comment yako nimekuuliza swali lengine unajibu tofauti mbaya zaidi unataka kuingiza topic nyingine. Mkuu wew Kusimamisha swala hujui.Sawa, sababu mimi nimeanza kukuuliza swali,naomba unijibu kwanza kisha nikujibu swali lako.
Ila ngoja nikujibu kwa mtindo huu. Naomba unionyeshe kwenye Qur'aan namna ya kuswali sala tano kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Nipo ...