Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia mwisho wa aya hapo neno KARIYM limetanguliwa na neno KITABU(jina)kwa maana ya hapo utafasiri kwamba kitabu ni MTENDA (فاعل)?
Hapo kitabu kinageuka kinakuwa ni mtendwa na kariym inageuka inakuwa ni mtendwa kwa maana ya hicho kitabu KIMEFANYWA KUWA KITUKUFU kwa msingi ule ule wa صيغة المبالغة (yaani kama kukitukuza kitu na kukipa ukubwa zaidi)
Katika hizo aya ulizonukuu tamko كريم limesimama kama sifa ya hivyo vilivyozungumziwa.Maelezo mazuri sana mkuu ila labda namimi nitie neno kwanza..
Bwana Zurri hakutoa maana ya neno karimu كريم bali alitia hili na lile hakutoa maana.
Ila ndugu umefafanua vizuri lakini niseme kwamba kukataza jambo ambayo ni mubaha tu wala haliingii katika ibada basi inakuwa haifai kwa sababu ni kuharamisha aliyohalalisha Allah.
Neno karimu كريم ni kweli ni waznu wa فعيل kwa maana inakuwa kama ni kitenda hivi.
Lakini wakati huo huo neno hilo linaweza likawa na maana ya مفعول به (mtendwa).
Hasa pale ambapo neno hilo limetanguliwa na jina ambalo kiuhalisia HALITENDI BALI HUTENDWA.
Hivyo neno hili kulichambua peke yake kwa maana hiyo alafu ukasema haifai sio sawa sawa kwa sababu inakuja katika hali nyingi lakini kwa muktadha ule ule wa صيغة المبالغة ila inaweza kuja katika maana ya kuwa ni kilichoTENDWA.
Mfano wa maana ambazo zinaonyeshwa kwamba neno kariym كريم linaweza kuwa na maana ya مفعول (mtendwa,mfanyiwa)angalia aya za Allah...
قالت يا أيها الملأ إني ألقي إلي كتاب كريم
[ AN-NAML - 29 ]
(Malkia) akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu.
Ukiangalia mwisho wa aya hapo neno KARIYM limetanguliwa na neno KITABU(jina)kwa maana ya hapo utafasiri kwamba kitabu ni MTENDA (فاعل)?
Hapo kitabu kinageuka kinakuwa ni mtendwa na kariym inageuka inakuwa ni mtendwa kwa maana ya hicho kitabu KIMEFANYWA KUWA KITUKUFU kwa msingi ule ule wa صيغة المبالغة (yaani kama kukitukuza kitu na kukipa ukubwa zaidi)
Aya nyingine...
أولم يروا إلى الأرض كم أنبتنا فيها من كل زوج كريم
[ ASH-SHUA'RAA - 7 ]
Je! Hawakuiona ardhi, mimea mingapi tumeiotesha humo, ya kila namna nzuri?
Umeona neno kariym lina maana ipi hapo?
Wamefasiri maana ya uzuri yaani imefanywa kuwa nzurii.
وزروع ومقام كريم
[ ADDUKHAN - 26 ]
Na mimea na mahali pazuri
Hapo kariym inamfasiri huyo maqaam(mahali)kwa maana ya hapo neno KARIYM ni mtendwa ambaye anamuwakilisha SEHEMU kwa hvyo tafsiri ya neno kariym hapo ni kwamba SEHEMU ILIYOFANYWA KUWA NZURI na sehemu wala haiwezi kujifanya kuwa nzuri bali hufanywa.
Na aya nyingi zinaomyesha kwamba kariym anaweza akawa mtendwa..
إنه لقرآن كريم
[ AL -WAAQIA'H - 77 ]
Hakika hii bila ya shaka ni Qur'ani Tukufu,
Hapo neno kariym limetanguliwa na neno QURANI kwa maana tafsiri yake ni "QURANI ILIYOFANYWA TUKUFU"
Kwa maana hiyo tunaweza kufupisha kwa kusema hivi.
"KARIYM IKITANGULIWA NA KITU AMBACHO HAKINA SIFA YA KUTENDA BASI NENO KARIYM LINAGEUKA LINAKUWA NI MTENDWA NA SIO MTENDA TENA".... Ndo mana hata aya zimetumia neno kariym kwa namna hiyo.
Hivyo mtu akisema "RAMADHAN KARIYM" maana yake ni ramadhani(mwezi)uliofanywa kuwa mtukufu" na wala haina maana ya kuwa eti huo mwezi ndo umetenda na kuwa mtenda.ukitafsiri hvyo maana yake mpaka aya tulizotoa zitatafsiriwa kwa makosa pia.
Na kiarabu ujanja wake wooooteee basi ikiwa kinaenda kinyume na Qurani twatakiwa tuifate Qurani imeweka msingi gani kwa sababu ndo marejeo.
Na hiyo Qurani ndo imetuonyesha kwamba neno KARIYM likitanguliwa na jina ambalo halitendi basi hilo jina hugeuka kuwa MTENDWAA..
Ramadhani kariym maana yake ni ramadhani iliyofanywa kuwa tukufu.
Zurri maana ya kariym usikariri kwa namna moja tu,huwa inakuwa na maana mbalimbali kwa mujibu wa kilichotangulia.
Naomba kuuliza inakuwaje mnasema mnafunga, wakati usiku mnakula Mara mbili ile kufturu na daku ,NAJIBU MASWALI YOTE YANAYOHUSU SWAUM YA RAMADHAN NA IBADA ZOTE ZINAZOAMBATANA NAZO...KABLA NA BAADA YA RAMADHAN...KARIBUNI...
Fafanua kidogo mkuuUtumwa tu, hopeless kabisa
Aaagh, tuishie hapo mkuu.Fafanua kidogo mkuu
Mkuu ebu kuwa siriaz kwanza..كريم inageukaje hapo kuwa mtendwa wakati tamko hilo ni sifa ya كتاب ? Kitabu hapo ni نائب فاعل .
Hichi kiarabu unachokiandika hapa na kukibabadua ni kiarabu cha wapi ?
Au ushawahi kusoma kitabu chochote cha "اعراب القرآن " ukaona wameelezea kama unavyoelezea hapo ?
Mkuu ebu kuwa siriaz kwanza..
Kwani نائب الفاعل sio مفعول به?
naibu wa mtendaj sio mtendwaji?
Hata kama utasema ni naibu wa mtenda bado haipingi kusema kwamba huyo ni mtendwa.
Bali anaitwa nibu wa mtenda kwa kule kupata kwake raf'u مرفوع
Mfano katika aya..
قتل أصحاب الأخدود
[ AL - BURUUJ - 4 ]
Wameangamizwa watu wa makhandaki
Ukiangalia katika aya neno الأخدود limekuwa مرفوع (lina dhwamma)wakati hao ni watendwaji ambao walitakiwa wawe na nasbu yaani wawe منصوب (wapate fat'ha mwishoni).
Lakini hapo wamekuwa na dhwamma kwa sababu فاعل مجهوووووور (mtenda hafahamiki) hivyo wao wanakuwa ni wasaidizi wa mtendaji wanakaa badala ya mtendaji.
Lakini sasa hao watu wa makhandani kiuhalisia unawatoa katika kutendwa ati kwa kuwa wamekuwa ni نئب الفاعل (wasaidizi wa mtendaji)?
Sasa kitu kuwa naibu faail hakimtoi kwamba ati hajatendwa,katendwa lakini mtendaji haafahamiki na kawaida ya mtendaji anapata dhwamma mwishoni lakini kwa kuwa hayupo basi anapata dhwamma aliyemtenda.
Sasa sijui unachokipinga wewe kupitia nibu faail juu ya neno kariym ni kipi hapo mkuu zurrrrrrrri
Kwa kawaida nyakati za mchana ndio nyakati haswaa za kupata chakula.yaani milo mikubwa yote hulika nyakati za mchana(asbuhi na mchana)na mmoja jioni.Naomba kuuliza inakuwaje mnasema mnafunga, wakati usiku mnakula Mara mbili ile kufturu na daku ,
Je huko sio kubadili ratiba ya chakula, badala ya mchana mnaipeleka usiku?
Nam akhy sikuwa na lengo la kuendelea nalo lakini kuna bwana mkubwa zurri ambae anakataza mambo pasi na kuwa na vikatazio madhubuti.Akhuy
Hii mada si bora kuendelea nayo
Tulete faida za Funga kwa watu
Ni lipi la kufanya na lipi la kuwacha
Lau tutafungua mlango wa kuminyana kielimu,halafu wanaoelewa ni wachache,tutakuwa watu wa ajabu sana
Siona kama kuna haja na hili kwasasa
Shukran
Allah akubaarik sana popote ulipo
Nam akhy sikuwa na lengo la kuendelea nalo lakini kuna bwana mkubwa zurri ambae anakataza mambo pasi na kuwa na vikatazio madhubuti.
Na watu wanataka ukiwakataza jambo uwe na hoja madhubuti za kukataza hasa sisi waislamu wa kawaida sio kkubabaisha tu,inakuwa hatuelewi kwa kweli.ndio maana na mimi nikaandika hayo.
Hakuna connection.Utashangaa wengi ya wanaofunga Ramadhani ni wauza unga, kuna connection gani hapa?
Shukran Akhuy
Nataraji ameelewa
Mkuu ebu kuwa siriaz kwanza..
Kwani نائب الفاعل sio مفعول به?
naibu wa mtendaj sio mtendwaji?
Hata kama utasema ni naibu wa mtenda bado haipingi kusema kwamba huyo ni mtendwa.
Bali anaitwa nibu wa mtenda kwa kule kupata kwake raf'u مرفوع
Mfano katika aya..
قتل أصحاب الأخدود
[ AL - BURUUJ - 4 ]
Wameangamizwa watu wa makhandaki
Ukiangalia katika aya neno الأخدود limekuwa مرفوع (lina dhwamma)wakati hao ni watendwaji ambao walitakiwa wawe na nasbu yaani wawe منصوب (wapate fat'ha mwishoni).
Lakini hapo wamekuwa na dhwamma kwa sababu فاعل مجهوووووور (mtenda hafahamiki) hivyo wao wanakuwa ni wasaidizi wa mtendaji wanakaa badala ya mtendaji.
Lakini sasa hao watu wa makhandani kiuhalisia unawatoa katika kutendwa ati kwa kuwa wamekuwa ni نئب الفاعل (wasaidizi wa mtendaji)?
Sasa kitu kuwa naibu faail hakimtoi kwamba ati hajatendwa,katendwa lakini mtendaji haafahamiki na kawaida ya mtendaji anapata dhwamma mwishoni lakini kwa kuwa hayupo basi anapata dhwamma aliyemtenda.
Sasa sijui unachokipinga wewe kupitia nibu faail juu ya neno kariym ni kipi hapo mkuu zurrrrrrrri
Mkuu ebu kuwa siriaz kwanza..
Kwani نائب الفاعل sio مفعول به?
naibu wa mtendaj sio mtendwaji?
Hata kama utasema ni naibu wa mtenda bado haipingi kusema kwamba huyo ni mtendwa.
Bali anaitwa nibu wa mtenda kwa kule kupata kwake raf'u مرفوع
Mfano katika aya..
قتل أصحاب الأخدود
[ AL - BURUUJ - 4 ]
Wameangamizwa watu wa makhandaki
Ukiangalia katika aya neno الأخدود limekuwa مرفوع (lina dhwamma)wakati hao ni watendwaji ambao walitakiwa wawe na nasbu yaani wawe منصوب (wapate fat'ha mwishoni).
Lakini hapo wamekuwa na dhwamma kwa sababu فاعل مجهوووووور (mtenda hafahamiki) hivyo wao wanakuwa ni wasaidizi wa mtendaji wanakaa badala ya mtendaji.
Lakini sasa hao watu wa makhandani kiuhalisia unawatoa katika kutendwa ati kwa kuwa wamekuwa ni نئب الفاعل (wasaidizi wa mtendaji)?
Sasa kitu kuwa naibu faail hakimtoi kwamba ati hajatendwa,katendwa lakini mtendaji haafahamiki na kawaida ya mtendaji anapata dhwamma mwishoni lakini kwa kuwa hayupo basi anapata dhwamma aliyemtenda.
Sasa sijui unachokipinga wewe kupitia nibu faail juu ya neno kariym ni kipi hapo mkuu zurrrrrrrri
Ni kweli نائب فاعل ni مفعول به . Kama ilivyoelezwa hapa :
يقع نائب الفاعل بعد الفعل غير المعروف فاعله، ويصبح المفعول به هو الذي يقوم مقام الفاعل ويسمى نائب الفاعل، والفعل المبني للمجهول إذا كان فعل ماضٍ يكون أوله مضموماً والحرف ما قبل الأخير مكسوراً، وإذا كان مضارعاً يُضمّ أوله ويُحرّك الحرف ما قبل الأخير بالفتحة، ومثال بسيط على ذلك: الجملة الأولى :كَسرَتْ ربابٌ القلمَ.( مبني للمعلوم).
Hapa nakiri nilipitiwa. Ila hili bado haliruhusu au kufanya رمضان كريم kusihi,japokuwa msemo kilugha uko sawa,ila unaonyesha ya kuwa رمضان yenyewe ndio ina sifa ya كريم jambo ambalo si sahihi,kwani kwani sifa ya ukarimu haiwezi kuwa kwa mwezi bali sifa ya ukarimu unaikuta kwa Allah,Mtume na waumini.
Assalam aleykm warahmatullah wabatakatul! Naomba kujuzwa juu ya ulaj/ kutokula daku.Je nikiacha kula daku funga yangu itaswih?