Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Ramadhani kareem imekatazwa katika Quran, tuanzie hapo au ni kauli mbaya
Hembu niwaeleweshe hili neno kwa undani kidogo ingawa mimi sio Ustadh
Neno Karim au Kerim ni moja na limetumika kama jina katika majina ya watu na maana yake ni generous (ukarimu)
Lakini pia lisiandikwe Al Kareem au Al Karim kwani hili ni jina mojawapo katika majina 99 ya Allah
 
Hakuna Katazo lililokuja katika Quraan kuhusu matumizi ya neno RAMADHAAN KAREEM

Wala hakuna Hadithi

Katazo la matumizi,limekuja kwa njia ya Maana ya neno RAMADHAAN KAREEM

ila asili iliyopo tokea mwanzo mwa Wema Waliotangulia,ni kusema

RAMADHAAN MUBAARAK
 
Neno Kareem
Kama alivyoeleza ndg
Lina maana ya Ukunjufu na Maana ya utoaji iliyoambatana na huruma

Unaposema RAMADHAAN KAREEM
Kana kwamba Ramadhaan inafanya jambo fulani la Ukarimu kwako

Na hili ni Makosa
Kwani Ramadhaan ni mwezi kama miezi mengine,ila una ubora wake

Je!Ni yupi anaefaa kusifika hasa na sifa ya UKARIMU!!!
Ni Allah au Ramadhaan?!

Kwa maelezo haya

Baadhi ya Wanachuoni,wakakataza kulitumia neno KAREEM,Bali tutumie neno MUBAARAK,kwani hili lina asili katika Sheria

Shukran
Allah anajua zaidi
 
Ukisema hivyo,unaitoa Ramadhani katika neno hilo,kwani neno hilo limejisholeza linaweza kusimama peke yake.

Tosheka na yale waliyotosheka wema wetu waliotutangulia.
Na kwa faida ya wote tuletee hiyo fatwa inayozungumzia jambo hili na sote tustafidi na ilimu hiyo.
 
Hakuna Katazo lililokuja katika Quraan kuhusu matumizi ya neno RAMADHAAN KAREEM

Wala hakuna Hadithi

Katazo la matumizi,limekuja kwa njia ya Maana ya neno RAMADHAAN KAREEM

ila asili iliyopo tokea mwanzo mwa Wema Waliotangulia,ni kusema

RAMADHAAN MUBAARAK
Maana yake, bora zaidi ni kusema ramadhan mubarak.
Kwa kuwa hii ina asili katika dini, yaani wema waliotangulia walikuwa wakisema.

Ila ramadan kareem haijakatazwa popote pale kwenye ima hadith wala qur an.

Hoja imefungwa hapa
 
[emoji97] BARAZA KUU LA JUMUIYA ZA ANSWARU SUNNAH TANZANIA (BASUTA ) [emoji97]

[emoji346] TAARIFA YA MUANDAMO WA MWEZI WA RAMADHANI ( 1440 H )

الحمد لله و الصلاة و السلام علي رسول الله و علي آله و صحبه و بعد .

Ndugu zangu Waislam popote mlipo Ndani na Nje ya Nchi , napenda kuwajulisha Rasmi kwa Niaba ya Kamati ya Mwezi muandamo ya Baraza la Jumuiya za Answaru Sunnah Tanzani kwamba leo ni Mwezi 29 Shabani 1440 H Siku ya Jumamosi , tumekalifishwa Waislam wote kuuangalia na kutafuta Habari za Muandamo wa Mwezi kwa mujibu Maamrisho aliyotupa Mtume wetu Muhammad Swallallahu alayhi wa Sallam, aliposema :

" صوموا لرؤيته و أفطروا لرؤيته فإن غم عليكم غٱكملوا عدة شعبان ثلاثين ".

"Fungeni kwa kuonekana Mwezi na Fungueni kwa kuonekanwa na pindipo utakapofichakamana kwenu basi kamilisheni Hesabu ya Mwezi Shaaban siku Thalathini" (Bukhari) .

Kamati hiyo baada ya kufuatilia Habari za Mwandamo wa Mwezi kwa kina Ulimwengu mzima, mpaka tukitoa Tangazo hili hakuna Mtu yoyote hapa Nchini aliyetoa Habari za kuandama kwa Mwezi wala hakuna Nchi yoyote Ulimwenguni iliyotangaza kuonekana kwa Mwezi hivyo basi Kamati inawatangazia Waislam wote kwamba kesho tunakamilisha Thalathini ya Mwezi wa Shaabani na Tarehe 1 ya Mwezi wa Ramadhani itaingia mara baada ya Magharibi ya Usiku wa kuamkia Siku ya Jumapili na Swaumu itaanza Siku ya Jumatatu Tarehe 6 May 2019.

Baraza linawapa Waislamu popote walipo Pongezi za kufikiwa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuwatakia Swaumu na Matendo yote Mema yenye kukubaliwa .

Wa Billahi-ttawfiiq .

Ni mimi Ndugu yenu,

Salim Abdulrahim Barahiyan,

Mwenyekiti wa Kamati ya Mwandamo BASUTA .
 
Neno Kareem
Kama alivyoeleza ndg
Lina maana ya Ukunjufu na Maana ya utoaji iliyoambatana na huruma

Unaposema RAMADHAAN KAREEM
Kana kwamba Ramadhaan inafanya jambo fulani la Ukarimu kwako

Na hili ni Makosa
Kwani Ramadhaan ni mwezi kama miezi mengine,ila una ubora wake

Je!Ni yupi anaefaa kusifika hasa na sifa ya UKARIMU!!!
Ni Allah au Ramadhaan?!

Kwa maelezo haya

Baadhi ya Wanachuoni,wakakataza kulitumia neno KAREEM,Bali tutumie neno MUBAARAK,kwani hili lina asili katika Sheria

Shukran
Allah anajua zaidi
Shukran sana akhy
 
Na kwa faida ya wote tuletee hiyo fatwa inayozungumzia jambo hili na sote tustafidi na ilimu hiyo.

Soma hapa :

Sheik Uthaymeen: said:
The ruling concerning this is, this phrase "Ramadan Kareem" is not correct, and the only phrase that should be said is "Ramadan Mubarak" or what resembles that. Because Ramadan is not the one that gives such that it can be called generous (Kareem), rather it is only ALLAH the Exalted that put virtue in it and made it a virtuous month and made the time period for performing (the fasting) a pillar from Islam.

And it is as though the one who said this thinks that due to the nobility of this month it is permissible to commit sins. And that is in opposition to what the people of knowledge have said (for they have said) that the sins are multiplied if they are done during virtuous times or noble places so this is the opposite of what this person has pictured. And they have said that it is incumbent upon the person to have Taqwaa of ALLAH the Mighty and Majestic during every time and in every place especially during virtuous times and in noble places. And ALLAH the Mighty and Majestic says

{Oh you who believe fasting has been prescribed for you like it was prescribed for those before you that you may obtain Taqwaa.}

So the wisdom behind the obligation of fasting is to gain Taqwaa of ALLAH the Mighty and Majestic by doing what He has ordered and avoiding what He has prohibited. And it has been established that the Prophet peace and blessing be upon him said "Whoever does not abandon falsehood in word and action, then Allah Mighty and Majestic has no need that he should leave his food and drink". Therefore fasting is worship for ALLAH and cultivation for the soul and a safeguard for it from the prohibitions of ALLAH. And it is not like this one without knowledge has said that due to the nobility of this month and its blessing, sinning is allowed in it.
 
TANBIH

Makala hii ya Sheikh Salim Allah amuhifadhi,naomba isizuwe mzozo wa Mwezi wa Tz au Afrika Mashariki

Jambo la Mwezi
lina tofauti tokea zama za Maswahaba na wale Waliokuja Baada ya Maswahaba

Atakaesema,anafunga na Mwezi wa Kimataifa
Halaumiwi wala hafai kubezwa au kuchekwa

Na
Atakaesema anafunga na Mwezi wa sehemu ambazo zinaafikiana Machomozo ya Jua,Pia hafai kulaumiwa wala kubezwa

Na
Atakaesema anafungwa na Mwezi wa Nyumbani au wa nchi jirani,kadhalika asilaumiwe wala kubezwa

Muhimu tu

Tusomeni Dini yetu,na Tusikubali Dini yetu,ikashikwa na baadhi ya watu

Tusomeni kwa Maslah ya nafsi zetu na familia zetu kadhalika

Huu ni muda wa kusoma sana Dini,ili tuepukane na mizozo isiyokuwa ya lazima

Shukran
[emoji97] BARAZA KUU LA JUMUIYA ZA ANSWARU SUNNAH TANZANIA (BASUTA ) [emoji97]

[emoji346] TAARIFA YA MUANDAMO WA MWEZI WA RAMADHANI ( 1440 H )

الحمد لله و الصلاة و السلام علي رسول الله و علي آله و صحبه و بعد .

Ndugu zangu Waislam popote mlipo Ndani na Nje ya Nchi , napenda kuwajulisha Rasmi kwa Niaba ya Kamati ya Mwezi muandamo ya Baraza la Jumuiya za Answaru Sunnah Tanzani kwamba leo ni Mwezi 29 Shabani 1440 H Siku ya Jumamosi , tumekalifishwa Waislam wote kuuangalia na kutafuta Habari za Muandamo wa Mwezi kwa mujibu Maamrisho aliyotupa Mtume wetu Muhammad Swallallahu alayhi wa Sallam, aliposema :

" صوموا لرؤيته و أفطروا لرؤيته فإن غم عليكم غٱكملوا عدة شعبان ثلاثين ".

"Fungeni kwa kuonekana Mwezi na Fungueni kwa kuonekanwa na pindipo utakapofichakamana kwenu basi kamilisheni Hesabu ya Mwezi Shaaban siku Thalathini" (Bukhari) .

Kamati hiyo baada ya kufuatilia Habari za Mwandamo wa Mwezi kwa kina Ulimwengu mzima, mpaka tukitoa Tangazo hili hakuna Mtu yoyote hapa Nchini aliyetoa Habari za kuandama kwa Mwezi wala hakuna Nchi yoyote Ulimwenguni iliyotangaza kuonekana kwa Mwezi hivyo basi Kamati inawatangazia Waislam wote kwamba kesho tunakamilisha Thalathini ya Mwezi wa Shaabani na Tarehe 1 ya Mwezi wa Ramadhani itaingia mara baada ya Magharibi ya Usiku wa kuamkia Siku ya Jumapili na Swaumu itaanza Siku ya Jumatatu Tarehe 6 May 2019.

Baraza linawapa Waislamu popote walipo Pongezi za kufikiwa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuwatakia Swaumu na Matendo yote Mema yenye kukubaliwa .

Wa Billahi-ttawfiiq .

Ni mimi Ndugu yenu,

Salim Abdulrahim Barahiyan,

Mwenyekiti wa Kamati ya Mwandamo BASUTA .
 
Soma hapa :

Sheik Uthaymeen: said:
The ruling concerning this is, this phrase "Ramadan Kareem" is not correct, and the only phrase that should be said is "Ramadan Mubarak" or what resembles that. Because Ramadan is not the one that gives such that it can be called generous (Kareem), rather it is only ALLAH the Exalted that put virtue in it and made it a virtuous month and made the time period for performing (the fasting) a pillar from Islam.

And it is as though the one who said this thinks that due to the nobility of this month it is permissible to commit sins. And that is in opposition to what the people of knowledge have said (for they have said) that the sins are multiplied if they are done during virtuous times or noble places so this is the opposite of what this person has pictured. And they have said that it is incumbent upon the person to have Taqwaa of ALLAH the Mighty and Majestic during every time and in every place especially during virtuous times and in noble places. And ALLAH the Mighty and Majestic says

{Oh you who believe fasting has been prescribed for you like it was prescribed for those before you that you may obtain Taqwaa.}

So the wisdom behind the obligation of fasting is to gain Taqwaa of ALLAH the Mighty and Majestic by doing what He has ordered and avoiding what He has prohibited. And it has been established that the Prophet peace and blessing be upon him said "Whoever does not abandon falsehood in word and action, then Allah Mighty and Majestic has no need that he should leave his food and drink". Therefore fasting is worship for ALLAH and cultivation for the soul and a safeguard for it from the prohibitions of ALLAH. And it is not like this one without knowledge has said that due to the nobility of this month and its blessing, sinning is allowed in it.
Kufuatia hiyo fatawa ya sheikh uthaymiiin rahima hu allah

Je kusema ramadan mubarak ndo kusema ramadan inaleta baraka??
Ikiwa kusema ramadhan kareem kuwa ramadhan ndio inayoleta ukareem
 
Neno Kareem كريم
limekuja katika uzani wa فعيل ambayo ina maana ya صيغة المبالغة na inaweza ikawa na maana ya صفة مشبهة

ama neno مبارك MUBAARAK
Limekuja katika uzani wa اسم المفعول

kwamaana ya Mtendwa( Iliyobarikiwa)

Kwamaana imefanyiwa kitendo cha Baraka

Hapo naona umeingia kwenye bahri ya sarfi na balagha
 
Lugha ya Kiarabu,huwa ni pana mno Bro

Neno linakuwa na maana tofauti kwa kubadilika Herufi au Haraka au kuzidi herufi au kupungua

kuna msemo wa kielimu upande wa lugha

unasema
Kuongezeka kwa jengo(la neno)ni kuongezeka kwa maana ya neno au kubadilika

Back
Top Bottom