Ramadhan Special Thread

Tunaosubiri mwezi wa بكوتي tunyooshe mikono juu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Shadeeya tia neno mbon kimya kimya
Shadeeya yupo busy akiandaa vileja, vibibi, mikate ya kumimina, kachori na chatney yake, uji wa pilipili manga, chapati, vitumbua, nyama za kukaanga nk.

Usidhani anavila vyote yeye mwenyewe, bali mwezi huu hua anakithirisha sana sana kutoa sadaka ikiwa ni pamoja na kuwapelekea futari waliofunga. Unajua tena Ramadhani safari hii imekuja katikati ya changamoto ya maambukizi ya corona, kwahiyo hakuna kukusanya watu kuwafuturisha. Hata tarawehe sijui itakuwaje Wallah
 
Mpo wengi sanaa 😂
 
Mwenzangu tarawehe tutaswalia majumban maan hamn budi mpe hai
 
Kaka hata wewe unasubiria huo wa Bakwata? 😂😂😂
 
Mie naanza kufunga kesho lakini Ses. 😀
 
tupe tafsiri kwa kiswahili ndugu yetu

pia kwa faida ya wengi itakuwa vizuri kwani Mungu anasikia lugha zote, ambao hatutaweza kuisoma kwa kiarabu tuisome kwa kiswahili
 
tupe tafsiri kwa kiswahili ndugu yetu

pia kwa faida ya wengi itakuwa vizuri kwani Mungu anasikia lugha zote, ambao hatutaweza kuisoma kwa kiarabu tuisome kwa kiswahili
Ndugu yangu kuhusu tafsir kidogo kuna baadhi ya maneno yananitatiza kitafsiri halisi halisi kwa kiswahili, lakini ngoja nikupe namna ya hayo maandishi yanavyotamkwa.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…