Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Tunaosubiri mwezi wa بكوتي tunyooshe mikono juu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Shadeeya tia neno mbon kimya kimya
Shadeeya yupo busy akiandaa vileja, vibibi, mikate ya kumimina, kachori na chatney yake, uji wa pilipili manga, chapati, vitumbua, nyama za kukaanga nk.

Usidhani anavila vyote yeye mwenyewe, bali mwezi huu hua anakithirisha sana sana kutoa sadaka ikiwa ni pamoja na kuwapelekea futari waliofunga. Unajua tena Ramadhani safari hii imekuja katikati ya changamoto ya maambukizi ya corona, kwahiyo hakuna kukusanya watu kuwafuturisha. Hata tarawehe sijui itakuwaje Wallah
 
Tunaosubiri mwezi wa بكوتي tunyooshe mikono juu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Mpo wengi sanaa 😂
 
Shadeeya yupo busy akiandaa vileja, vibibi, mikate ya kumimina, kachori na chatney yake, uji wa pilipili manga, chapati, vitumbua, nyama za kukaanga nk.

Usidhani anavila vyote yeye mwenyewe, bali mwezi huu hua anakithirisha kutoa sadaka ikiwa ni pamoja na kuwapelekea futari waliofunga. Unajua tena Ramadhani safari hii imekuja katikati ya changamoto ya maambukizi ya corona, kwahiyo hakuna kukusanya watu kuwafuturisha. Hata tarawehe sijui itakuwaje Wallah
Mwenzangu tarawehe tutaswalia majumban maan hamn budi mpe hai
 
Tunaosubiri mwezi wa بكوتي tunyooshe mikono juu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
Kaka hata wewe unasubiria huo wa Bakwata? 😂😂😂
 
Shadeeya yupo busy akiandaa vileja, vibibi, mikate ya kumimina, kachori na chatney yake, uji wa pilipili manga, chapati, vitumbua, nyama za kukaanga nk.

Usidhani anavila vyote yeye mwenyewe, bali mwezi huu hua anakithirisha sana sana kutoa sadaka ikiwa ni pamoja na kuwapelekea futari waliofunga. Unajua tena Ramadhani safari hii imekuja katikati ya changamoto ya maambukizi ya corona, kwahiyo hakuna kukusanya watu kuwafuturisha. Hata tarawehe sijui itakuwaje Wallah
Mie naanza kufunga kesho lakini Ses. 😀
 
بسم الله الرحمن الرحيم​

اللهم انت الملك، لااله الا انت، انت رب وان عبدك، الظلمت نفسي وعترفت بالذنبي، فغفرلي ذنوبي جميع، انه الا يغفر الذنوب الا انت، وحدني لاحسن الاحلاك، لا يهدي لحسنها الا انت، وصرف عني سياهي لا يصرف عني سياهي الا انت، لبيك وسعديك، والحير كله بيديكا، والشر ليس اليكا، انبك واليكا، تباركت ربنا وتعليكا، نستغفروك واتوبي اليكا.
Nimesoma dua hii kwa kumtaka msamaha Allah (S.W), kwani mimi ni mja wake pia ni kiumbe dhaifu. Sio vibaya kila mmoja wetu kuisoma dua hii.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
tupe tafsiri kwa kiswahili ndugu yetu

pia kwa faida ya wengi itakuwa vizuri kwani Mungu anasikia lugha zote, ambao hatutaweza kuisoma kwa kiarabu tuisome kwa kiswahili
 
Ndugu yangu kuhusu tafsir kidogo kuna baadhi ya maneno yananitatiza kitafsiri halisi halisi kwa kiswahili, lakini ngoja nikupe namna ya hayo maandishi yanavyotamkwa.

Back
Top Bottom