Ramadhan Special Thread

Vipi wale ndugu zako ambao walifunga kesho yake uliwajulisha kuwa mwezi umeonekana baada ya kupata habari za kuonekana kwake? Isije ikawa ulisikia na ukaamua kukaa kimya na taarifa hiyo ili mradi tu mtofautiane katika kuanza swaumu...
Mi ulivyotoka mwezi nikafunga wengine wakafunga kesho yake


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

wenyewe mpaka Bakwata watangaze
 
Inafaa mkuu kwa sababu hakuna dalili inayokataza


Inaswihi mkuu kwa sababu hakuna dalili iliyokataza kuchinja mwezi wa ramadhani.

Hadithi zimeruhusu kuchinja katika nyakati zote mpaka nyakati za swaumu kama hizi.
Kwa mtu aliyehirimia ibada ya hijja na umra haruhusiwi kuchinja ama kuwinda hadi pale kwenye sikukuu ya Eid Al-adha.

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Kwa mtu aliyehirimia ibada ya hijja na umra haruhusiwi kuchinja ama kuwinda hadi pale kwenye sikukuu ya Eid Al-adha.

"رمضان كريم وصوم مقبول"

Naam akhy umenizindua hapo Allah akubaariki katika nyakati hizo kama ulivyosema zipo adillah tele zinazoharamisha mtu kuchinja katika nyakati hizo ulizotaja.

Allah akulipe mana pengine ilisomeka vibaya mtu akaelewa kuwa hata kuchinja nyakati za hijja na umra haifai.

Allah akulipe kheri,wacha niediti isomeke vizuri zaidi.
 
Kwa sote
اللهم امين

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 

App gani hii mzee!?
 
السلام عليكم ورحمت الله، ام بعد:
Samahani ndugu zangu waislam, leo nina swali dogo tu naomba niwaulize na naomba majibu yawe kwa dalili.
Hivi kutawadha (Kuchukua/kutia udhu) maliwatoni inafaa?

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…