Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #1,621
Ramadan Kareem
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hapo kwa sie kesho-MAY 23 [BAKWATA] itakuwa yaumul shak na mwezi upo 0.5% , possibility ya kuonekana kwa macho haipo labda kwa TELESCOPE, Naiona possibility ya kukamilisha Ramadhani 30 na idd inshaaAllah kuwa jumatatu.View attachment 1456647View attachment 1456648View attachment 1456649
[emoji115]Yote kwa yote mwezi wenyewe kuandama ndio msema kweli.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ila kuanzia sasa naamini tukiwa tunafutilia miandamo ya miezi kwa miezi yote mingine naamini hakuna sehemu tutakuwa na utata.........yaah tukiwa na tendency ya kufatilia miezi yote 12 kutakuwa hakuna hizi tofaut, na BAKWATA wangekuwa na msemaji wao kila mwezi anatoa update za mwezi, ingewafanya waislam wengi kuwa aware.Al akhy kwa hili, kama mwezi unazama saa 12 na dakika 8 possibility ya mwezi kuonekana ni ndogo sana kwa leo hii. Ikiwa sisi tuliofata Bakwata leo tupo mwezi 28 Ramadhan na waliotangulia wapo mwezi 29 Ramadhan. Kikubwa ni kusubiri ikiwa utaonekana kheri, na ikiwa utaonekana kesho kwa waliotangulia wao watakuwa wamekamilisha mwezi 30 Ramadhan na sisi tuliofata Bakwata tutakuwa mwezi 29 Ramadhan. Yote kheri. Ila kuanzia sasa naamini tukiwa tunafutilia miandamo ya miezi kwa miezi yote mingine naamini hakuna sehemu tutakuwa na utata.
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Ila kuanzia sasa naamini tukiwa tunafutilia miandamo ya miezi kwa miezi yote mingine naamini hakuna sehemu tutakuwa na utata.........yaah tukiwa na tendency ya kufatilia miezi yote 12 kutakuwa hakuna hizi tofaut, na BAKWATA wangekuwa na msemaji wao kila mwezi anatoa update za mwezi, ingewafanya waislam wengi kuwa aware.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuangalie kesho inshaaAllah maana tulifikisha 30 shaaban na kesho ni 29 Ramadhaniالسلام عليكم ورحمت الله وبركات.
Leo kuna ilmu kidogo nimeipata kuhusu mambo ya miandamo ya mwezi wa Ramadhan. Ni kwamba ikiwa mwezi wa Ramadhan utaandama kwa kutimia Shaaban siku 30 basi mwezi wa muandamo kuingia kwenye Eid el fitri utaandamia 29 (Ramadhan itakuwa siku 29) na ikiwa mwezi wa kuandamisha Ramadhan utaandama kwa kutimia Shaaban 29 mwezi wa muandamo kuingia kwenye Eid el fitri utaandama kwa Ramadhan 30 (Ramadhan itakuwa siku 30).
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
tuanze na wasanii wa ki-islamu ndio waovu waliopitiliza.Tuzidi kukumbushana mema na kukatazana mabaya.
Tena hawaogopi Mungu wala wanadamu, maovu yao hufanya wazi wazi kabisa (Hadharani)tuanze na wasanii wa ki-islamu ndio waovu waliopitiliza.
Nilishangazwa na majibu yako nilipoomba mwisho mwema kwetu sote!Tuzidi kukumbushana mema na kukatazana mabaya.
Tuanze na nafsi zetu.tuanze na wasanii wa ki-islamu ndio waovu waliopitiliza.
tumeshaanza, tuendelee na wengineTuanze na nafsi zetu.
Msanii akizini haina maana ataandikiea dhambi milioni kwa kuwa msanii na mimi nikizini niandikiwe dhambi tatu.wote sawa tu.
Wa alaykumus salaam warahmatullaah wabarakatuh.Asalam alaykum,, naomba mwenye kujua majina mazuri ya kupewa mtoto wa kike wa kiislamu..
Majina yawe yanaanza na herufi "" F **
Wa alaykumus salaam warahmatullaah wabarakatuh.
Farhana
Farkhiya
Fatuma/Fatima/Fatma.Asalam alaykum,, naomba mwenye kujua majina mazuri ya kupewa mtoto wa kike wa kiislamu..
Majina yawe yanaanza na herufi "" F **
Hili la pili nilijua linaandikwa FarhiaWa alaykumus salaam warahmatullaah wabarakatuh.
Farhana
Farkhiya