Ramadhan Special Thread

Ila kuanzia sasa naamini tukiwa tunafutilia miandamo ya miezi kwa miezi yote mingine naamini hakuna sehemu tutakuwa na utata.........yaah tukiwa na tendency ya kufatilia miezi yote 12 kutakuwa hakuna hizi tofaut, na BAKWATA wangekuwa na msemaji wao kila mwezi anatoa update za mwezi, ingewafanya waislam wengi kuwa aware.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
السلام عليكم ورحمت الله وبركات.
Leo kuna ilmu kidogo nimeipata kuhusu mambo ya miandamo ya mwezi wa Ramadhan. Ni kwamba ikiwa mwezi wa Ramadhan utaandama kwa kutimia Shaaban siku 30 basi mwezi wa muandamo kuingia kwenye Eid el fitri utaandamia 29 (Ramadhan itakuwa siku 29) na ikiwa mwezi wa kuandamisha Ramadhan utaandama kwa kutimia Shaaban 29 mwezi wa muandamo kuingia kwenye Eid el fitri utaandama kwa Ramadhan 30 (Ramadhan itakuwa siku 30).

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 



Mimi huwa namfuata mufti wa kiibadh wa omani they are very comfortable,na wala hawafuati mkumbo,,,tufunge kwa kuuona mwezi katika nchi yako, na tufungue kwa kuuona mwezi katika nchi yako na sio kuwafuata wasaudia au wa nchi nyingine.
 
Ngoja tuangalie kesho inshaaAllah maana tulifikisha 30 shaaban na kesho ni 29 Ramadhani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asalam alaykum,, naomba mwenye kujua majina mazuri ya kupewa mtoto wa kike wa kiislamu..
Majina yawe yanaanza na herufi "" F **
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…