Ramadhan Special Thread

Assalaam Alaykum
Ikhwah
Ndani ya mwezi huu,tukithirishe sana kusoma Quraan,kujifunza Dini yetu,tujifunze Adhkaar zilizo katika mapokeo sahihi
Tusikubali kupitwa na Ibada ya Swala Tano kwa Jamaa
Taraweeh iwe ni miongoni mwa kipaumbele chetu

TUJITAHADHARI SANA NA MAMBO HAYA
Kuangalia Series,Movies,Comedy nk
Michezo ya kipuuzi kama Karata,Keram nk
Tusipoteze muda mwingi katika kuandaa futari tofauti tofauti(Wanawake kuweni makini katika hili)
Ramadhan,si mwezi wa kulala sana
Tuwe makini sana katika matendo na kauli zetu

Nawatakia Ramadhan njema
Allah awabaarik sana popote mlipo
 
[emoji287]Masaa matatu kwa siku katika mwezi wa Ramadhani yasikupite kwa thamani yoyote ile ukiyahifadhi, nayo ni masaa matatu kwa idadi ya siku za Ramadhani yanakua kwa Jumla masaa (90) nayo ni kama yafuatavyo:[emoji287]

1- [emoji314]Saa moja wakati wa kufuturu hakika andaa futari yako mapema na ujipe faragha kwa ajili ya dua, kwasababu mwenye kufunga wakati wa kufungua kwake ana Dua ambayo hairudi patupu, jiombee mwenyewe na vipenzi vyako na waombee maiti wa kiislamu kwasababu wanahitaji kutoka kwako Dua.[emoji314]

2- [emoji314]Ama jisaa la pili: Ni mwisho wa usiku jipe faragha uwe pamoja na Allah kwasababu yeye ana ita akisema nani anaomba nimpe nani anayaka msamaha nimsamehe, na uzidishe katika usiku huo kwa kumuomba Allah msamaha.[emoji314]

3- [emoji314]Ama jisaa la tatu: Ni kukaa kwako baada ya swala ya Alfajiri katika mahali uliposwali ukifanya adhkar mpaka jua likachomoza kwasababu ni sawa na umra na hijja iliyo kamilika.[emoji314]

[emoji314]Haya ni masaa tisaini, na kua na pupa na wakati mwengine uliobaki wote kwa kumtaja Allah, na ujiepushe na usengenyaji kwasababu unamaliza thawabu zako, na weka azma isikupite swala ya faradhi na uchukue fursa ya kutekeleza Swala za sunna, kwasababu ni siku thalathini, na niharaka iliyoje tukijipata tukisema imeisha, Allahul Mustaan![emoji314]


[emoji314]Hata ukinuwia kueneza maneno hqta nuwia kwa ajili ya kheir, huenda Allah akakufariji kwa mazito katika mazito ya Dunia na Akhera[emoji314]

[emoji314]Na kumbuka: fanya kheir hata ukaiona ndogo vipi kwasababu hujui jema gani litakuingiza peponi[emoji314]

[emoji287] [emoji619]RAMADHAN MUBAARAK[emoji287] [emoji619]
 
A Quick Look At the Duas you can add in your Dhikr list which upon reciting you can easily gain TREMENDOUS reward:-

1. SUBHANALLAHI WABI HAMDIHI, SUBHANALLAHIL AZEEM.
‎سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم
Recite this 100 times or more especially after Fajr and Maghrib

2. SUBHANALLAHI WABI HAMDIHI, ADADA KALKIHI, WA RIDAA NAFSIHI, WA ZENATA ARSHIHI, WAMIDADA KALIMATIHI.
‎سبحان الله وبحمده عدد خلقه ورضا نفسه وزنة عرشه ومداد كلماته
Reading this thrice is equivalent to 6 hours of worship.

3. ASTAGFIRULLAHI LAZEEY LA ILLAHA ILLA HUWAL HAYYUL QAYYUM WA ATTOOBU ILLAHI.
‎أستغفر الله الذي لا إله إلا هو الحي القيوم واتوب اليه
Reading this thrice will eliminate your (minor) sins even if they were as huge as the foam of sea.

4. LA HAWLA WALA QUWWATA ILLA BILLA HIL ALEEYIL AZEEM.
‎لا حول و لا قوة إلا بالله العلي العظيم

5. ALLAHUMA INNAKA AFFUWUN TUHIBBUL AFWA FA'FU ANNI.
‎اللهم انك عفو كريم تحب العفو فاعف عني
Recite this as much as possible during the Holy month of Ramadan.

6. HASBIYALLAHU WANIMAL WAKEEL.
‎حسبي الله ونعم الوكيل
Recite this whenever you find yourself tensed over any issue. The calming effect this dua has cannot be denied.

6. RABBI ISHRAH LI SADRI WA YASSIR LI AMRI.
‎رب اشرح لي صدري ويسر لي امري
Just as its meaning that says "Ya rab, expand my chest and make things easy for me." , reciting this with firm belief in Allah will definitely ease any difficulty In Shaa Allah.

7. ALLAHUMA ADKHILNI JANNATUL FIRDOUS.
‎اللهم ادخلني جنة الفردوس
Recite this thrice and JANNAH itself will make dua to Allah swt to grant you Jannah.

8. ALLAHUMA AJIRNI MINANAAR.
‎اللهم أجرني من النار
Recite this 7 times after Fajr salah and Maghrib salah so that if you die in b/w this time you will be protected from hellfire In Shaa Allah.

9. RABBIR HAMHUMA KAMA RABBAYANI SAGEERA.
‎رب ارحمهما كما ربياني صغيرا
This one is for your parents. Read this for their welfare and is the best way to make dua for them.

10. LA ILAHA ILLALLA.
‎لا إله إلا الله
This is obviously the best way to attain tremendous reward easily.

And they are many more such duas which on recitation one can attain Allah's happiness and blessing and ultimately Jannah.

Pass it on, so that others benefit as well.
 
Najivunia kutoka kwenye ukristo na kuingia kwenye Uislam,lakini nilichokuwa nawauliza siku zote walimu wangu waliokuwa wananifundisha Elimu ya Dini,kwa nini wasiwaubirie watu kama wanavyofanya wa upande ule,Sababu mafundisho ya Dini ya Kiisilamu ni ya kweli kabisa,Maana wako watu wengi waliozama kwenye ujinga wa Imani na bado wanaendele kuzamishwa na mafundisho ya uongo
 
Allaah akuhifadhi na akuongoze kwenye kheri zaidi.
Aaamiyn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…