Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Neno kuteseka sijui lina maana gani kwako,lakini hem tafakari uone nimeandika nini.

Shida kubwa ya waislam wengi huwa hamtaki kuulizwa maswali au kujibu hoja,badala yake mtaanza kejeli.

Hivi kweli hayo mambo ni ya kuweka jf wakati misikiti ipo?,ndio swali langu tu.

Neno kuteseka linatumika na watu wasiojali utu wa watu,ramadhani imekaribia,punguza dhihaka na kutumia maneno dhalimu mkuu,haikusaidii kitu.
Chief

Utanisamehe Kwa lugha nitayo tumia...

Wewe unateseka kwasababu inaelekea unaumizwa na Sisi kukumbushana mambo ya Imani yetu,kifupi Una roho mbaya,je umelazimishwa kusoma huu Uzi?

Wakati mwingine mnapenda kuchokoza watu bilasababu ili tukiwajibu mpate kusema waislamu ni wakorofi,katika hili nitakuwa mkorofi.

Hili jukwaa ni la hoja mchanganyiko kwahiyo tuna haki ya kutoa hoja zetu,sasa kama wewe huendani na mada hizi kausha Tu chief.

Au anzisha Dini yako kama unaona tunafaidi,Acha kuongea upuuzi.
 
Sasa hapo nimekosea nini hadi niongoke?,
Yaani kuuliza tayari sifai eti niongoke?,
Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,
Narudia tena Mungu akuongoze nami pia namwomba Mungu aniongoze
 
Chief

Utanisamehe Kwa lugha nitayo tumia...

Wewe unateseka kwasababu inaelekea unaumizwa na Sisi kukumbushana mambo ya Imani yetu,kifupi Una roho mbaya,je umelazimishwa kusoma huu Uzi?

Wakati mwingine mnapenda kuchokoza watu bilasababu ili tukiwajibu mpate kusema waislamu ni wakorofi,katika hili nitakuwa mkorofi.

Hili jukwaa ni la hoja mchanganyiko kwahiyo tuna haki ya kutoa hoja zetu,sasa kama wewe huendani na mada hizi kausha Tu chief.

Au anzisha yako Dini yako kama unaona tunafaidi,Acha kuongea upuuzi.
Haya mkuu.
Endelezeni tamaduni za kiarabu mkijua ni dini,endeleeni kudharau watu mkidhani ni thawabu,endeleeni kulazimisha mambo yenu kujulikana.
NAOMBA IELEWEKE TU,KATIKA WOTE MLIONIJIBU MNAFANANA TABIA,YAANI MAJIBU MABAYA,NA HII NI TABIA YA WAISLAM WENGI.

unasema nisingesoma,na wewe kwanini uweke kitu hapa ambacho unajua ni wote watasoma hata wasiohusika?,acheni unafiki.

Shida mnajiona wenye haki,mambo sivyo yalivyo.
 
Wakuu naomba kujua,hivi misikitini hapatoshi kufundisha na kukumbushana haya mambo mpaka tulete threads kidini za kuhusu kundi la watu fulani kwenye jamii yenye mchanganyiko kama jf?,

Maana hapa jf si kwa waislam tu,ni wakristo pia,naona haya yangefaa yawe maalum kwa watu wa imani husika,sasa hapa jukwaani yana umuhinu gani mambo haya?,
Popote ukumbusho unafanyika na jf ni jukwaa huru , Kuna majukwaa mengi mnoo ukiona kitabu huelewi ujue hujaandikiwa wewe...!!
Sometimes be positive u will loose nothing
 
Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,
Narudia tena Mungu akuongoze nami pia namwomba Mungu aniongoze
Hem nieleweshe,kwenye swali langu nililouliza,chuki ya uislam iko wapi?,
 
Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,
Narudia tena Mungu akuongoze nami pia namwomba Mungu aniongoze
Yaani huyu ukhty wangu amekuja kuchafua Uzi makusudi na kututoa katika lengo lililokusudiwa.

Wapuuzi Sana hawa watu,siwezi kuwa mnafiki kanichefua Sana huyu mpuuzi
 
Haya mkuu.
Endelezeni tamaduni za kiarabu mkijua ni dini,endeleeni kudharau watu mkidhani ni thawabu,endeleeni kulazimisha mambo yenu kujulikana.
NAOMBA IELEWEKE TU,KATIKA WOTE MLIONIJIBU MNAFANANA TABIA,YAANI MAJIBU MABAYA,NA HII NI TABIA YA WAISLAM WENGI.

unasema nisingesoma,na wewe kwanini uweke kitu hapa ambacho unajua ni wote watasoma hata wasiohusika?,acheni unafiki.

Shida mnajiona wenye haki,mambo sivyo yalivyo.
Mpuuzi mkubwa Sana wewe,ngoja nikudharau Tu

Uwe na usiku mwema
 
Chuki iko wapi kwenye swali lile la kwanza,maana hakika kama ipo nitaomba radhi hapahapa.
Hujui chuki iko wapi ina maana hii ndio mada ya kwanza inayo husu Dini ndani ya hili jukwaa?

Je Sheria za jukwaa hili zimekataza members kuandika kuhusu dini zao?

Kaa utulie uliyo yapata ndio ulio yatafuta.
 
Back
Top Bottom