hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Ongoka tena haraka sana.Sasa hapo nimekosea nini hadi niongoke?,
Yaani kuuliza tayari sifai eti niongoke?,
Ukifa hali ya kuwa ni kafiri we ni motoni tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongoka tena haraka sana.Sasa hapo nimekosea nini hadi niongoke?,
Yaani kuuliza tayari sifai eti niongoke?,
ChiefNeno kuteseka sijui lina maana gani kwako,lakini hem tafakari uone nimeandika nini.
Shida kubwa ya waislam wengi huwa hamtaki kuulizwa maswali au kujibu hoja,badala yake mtaanza kejeli.
Hivi kweli hayo mambo ni ya kuweka jf wakati misikiti ipo?,ndio swali langu tu.
Neno kuteseka linatumika na watu wasiojali utu wa watu,ramadhani imekaribia,punguza dhihaka na kutumia maneno dhalimu mkuu,haikusaidii kitu.
Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,Sasa hapo nimekosea nini hadi niongoke?,
Yaani kuuliza tayari sifai eti niongoke?,
Haya mkuu.Chief
Utanisamehe Kwa lugha nitayo tumia...
Wewe unateseka kwasababu inaelekea unaumizwa na Sisi kukumbushana mambo ya Imani yetu,kifupi Una roho mbaya,je umelazimishwa kusoma huu Uzi?
Wakati mwingine mnapenda kuchokoza watu bilasababu ili tukiwajibu mpate kusema waislamu ni wakorofi,katika hili nitakuwa mkorofi.
Hili jukwaa ni la hoja mchanganyiko kwahiyo tuna haki ya kutoa hoja zetu,sasa kama wewe huendani na mada hizi kausha Tu chief.
Au anzisha yako Dini yako kama unaona tunafaidi,Acha kuongea upuuzi.
Haya.Fungua uzi wako wa kuomba. kueleweshwa.
Popote ukumbusho unafanyika na jf ni jukwaa huru , Kuna majukwaa mengi mnoo ukiona kitabu huelewi ujue hujaandikiwa wewe...!!Wakuu naomba kujua,hivi misikitini hapatoshi kufundisha na kukumbushana haya mambo mpaka tulete threads kidini za kuhusu kundi la watu fulani kwenye jamii yenye mchanganyiko kama jf?,
Maana hapa jf si kwa waislam tu,ni wakristo pia,naona haya yangefaa yawe maalum kwa watu wa imani husika,sasa hapa jukwaani yana umuhinu gani mambo haya?,
Ushamuacha huyoo.Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh
Hem nieleweshe,kwenye swali langu nililouliza,chuki ya uislam iko wapi?,Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,
Narudia tena Mungu akuongoze nami pia namwomba Mungu aniongoze
Yaani huyu ukhty wangu amekuja kuchafua Uzi makusudi na kututoa katika lengo lililokusudiwa.Naam unahitaji kua guided na kuelewa nasaha hutolewa popote ili kuisaidia nafsi, ndio maana huku utaona mume/mke huja kuomba ushauri kuhusu mke/ mume wake au watoto wake je unataka tuanze kuhoji hukua na mdhamini wa ndoa uje uombe ushauri wa ndoa yako hapa na kadha wa kadha lkn ukaja kwa chuki ya uislam,
Narudia tena Mungu akuongoze nami pia namwomba Mungu aniongoze
Haya ndio majibu yenu.Ushamuacha huyoo.
Huko alipo anang'aza kavamia kambi siyo.
Hakika mpnziMasiku ya kujikurubisha Kwa Allah s.w mwingi wa msamaha pia
Na yatubadilishe Moja Kwa Moja nafsi zetu ziwe kua na ikhlasi na pia tutoe sadaka Kwa wingi sana
Chuki iko wapi kwenye swali lile la kwanza,maana hakika kama ipo nitaomba radhi hapahapa.Hukuuliza kufahamishwa ila umeleta chuki zako mbele
Mpuuzi mkubwa Sana wewe,ngoja nikudharau TuHaya mkuu.
Endelezeni tamaduni za kiarabu mkijua ni dini,endeleeni kudharau watu mkidhani ni thawabu,endeleeni kulazimisha mambo yenu kujulikana.
NAOMBA IELEWEKE TU,KATIKA WOTE MLIONIJIBU MNAFANANA TABIA,YAANI MAJIBU MABAYA,NA HII NI TABIA YA WAISLAM WENGI.
unasema nisingesoma,na wewe kwanini uweke kitu hapa ambacho unajua ni wote watasoma hata wasiohusika?,acheni unafiki.
Shida mnajiona wenye haki,mambo sivyo yalivyo.
Kuuliza swali ni upuuzi?,Yaani huyu ukhty wangu amekuja kuchafua Uzi makusudi na kututoa katika lengo lililokusudiwa.
Wapuuzi Sana hawa watu,siwezi kuwa mnafiki kanichefua Sana huyu mpuuzi
Umeona Kuna mtu kauliza swali hapo. Mkuu ushapiga kisungura nini?Haya ndio majibu yenu.
Jamani hivi ndivyo mnavyofundishwa kujibu watu wawaulizao maswali?,
Mimi kanikera, sina hulka ya kujibu design ya huyu lkn leo nimelazimikaYaani huyu ukhty wangu amekuja kuchafua Uzi makusudi na kututoa katika lengo lililokusudiwa.
Wapuuzi Sana hawa watu,siwezi kuwa mnafiki kanichefua Sana huyu mpuuzi
Huna cha kunidharau,huna.Mpuuzi mkubwa Sana wewe,ngoja nikudharau Tu
Uwe na usiku mwema
Hujui chuki iko wapi ina maana hii ndio mada ya kwanza inayo husu Dini ndani ya hili jukwaa?Chuki iko wapi kwenye swali lile la kwanza,maana hakika kama ipo nitaomba radhi hapahapa.
Nimekukera kuuliza swali la kwanini mnaweka mambo yenu kwa jamii nzima?.Mimi kanikera, sina hulka ya kujibu design ya huyu lkn leo nimelazimika