Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #321
Duh unawaza futari kabla ya kufunga [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani Ftari tualikane waumini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh unawaza futari kabla ya kufunga [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani Ftari tualikane waumini
inawezekana ndo wale watoto swaumu ikishika sana, wanaingia vyooni na vifuu vya naziDuh unawaza futari kabla ya kufunga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na mie pia nipo mkuu..siachi hata kurasa mojaikiwa kama ndiyo kwanza unaingia katika huu uzi usisite kufungua na kuperuzi kuanzia page ya 1 kuna mambo mengi yenye faida yamo humu kuhusu mfungo wa ramadhani, ikiwa wayafahamu si vibaya ukajikumbusha, na mengine ya kheri yataletwa insha Allah kwani Mtume (s.a.w) anasema ''elimu ni mali ya muumini popote utakapoiona ufanye pupa kuichukua''
shukrani nyingi sana ziende kwa Hance Mtanashati kwa kulileta jambo hili la kheri Nyoka_mzee ukhuty everhurt SDG Abdul edwayne Dizkiz sungita cleverer Mndengestani mjingamimi emmyta Super women 2 alibakari Hashim bin Faustin dullynho arch67 dimaa Kanye2016 CleverKING Dr Simba uroto Arabian queen babu na mjukuu lucley Ibney momentoftruth Mwanakanenge mansakankanmusa leprincess shiite kikuna Kilemakyaaro THOMAS SANKARA forumyangu Joninho shaban mwiga byongo thatsit @wrong turn [USER=63847]mkomatembo jr boy lamalu Patience123 Kulupura mimisiowewe Khalidoun miseryman Rabii90 Angel Nylon Kadhi Mkuu 1 nasmapesa Omar Lugendo Mzigua wa kuchovya Bacyclerbacy Madam Mwajuma ISIS Mbulu nanawoo As Salafiyyu91 Alkanjir kichunjuu kichunjuu na wengineo wote ambao tupo pamoja hapa
ALLAH KWA BARAKA YA RAMADHANI HII PENYE UZITO ATUJALIE TAHFIF, ATULIPE YALIYO YA KHERI DUNIANI NA AKHERA (AMEEN)[/USER]
Hata mabohora,wahhabu.wote waislamu.Ivi kwani Mashia ni Waislamu?
Asante mkuuKwa yeyote ambaye hatafunga kwa ajili ya maradhi wakati wa mwezi ramadhani, atakula mchana wa ramadhani ila atatakiwa kulipa baada tu ya eid na asiikutanishe swaumu hiyo na ramadhani nyingine.
Ama kwa mwenye maradhi ya kudumu kama vidonda vya tumbo, kisukari nk. Atakula mchana wa ramadhani (ale kistaarabu, asile hadaharani kwa sifa) na kwa kila siku ambayo hajafunga basi atatoa kibaba kimoja cha chakula kinachopendwa zaidi katika mji kumfuturisha maskini.
Pia kuna hukumu ya mama mjazito au mama anayenyonyesha mtoto mchanga, nitaendelea baadae in shaa allah.
Ama kwa yule ambaye ataacha kufunga kwa makusudi bila udhuru wa kisheria, anapata madhambi na anajitoa miongoni mwa walioamini kwani funga ni lazima kwa wale walioamini na allah atawalipa kadri ya makosa yao.
Wallahu A'lam
Yupo humuhumu tu, alivyouona huu Uzi atakuja, ni miongoni mwa wanawake wanaoijua dini yao vizuri kabisa, allah atupe mwisho mwema na nuru ilokuwa bora kabisa.Faiza Foxy sijui kapolea wapi
Ameen thumma ameenWaislam tuwe na msimamo popote pale tulipo, tudhihirishe uislam wetu, tuonyeshe msimamo wetu. Tuswali swali tano jamani, kwani swala ndo ufunguo wa kila jambo, kwa tuliojaaliwa kupata elimu zote mbili tumshukuru sana allah , allah atujali funga njema na tufikie lengo la funga, na tukumbuke kufanya toba.
Jazaaka llahu lkhayrAsante mkuu
Labla nijazie tu kido KIBABA KIMOJA=600gram
★Pili kuhusu mama mja mzito Kama atashauriwa dactari kutokana na Afya yake ,huyu ataruhusiwa kula mchana wa ramadhani asiwe tena anakaa nje ndio anakula akae ndani na atalipa baada ya kuisha ramadhani.
Mama mjamzito akiwa hakufunga labla kwa kuhufia afya ya mtoto wake ,huyu atalipa kufunga na pia hatawarisha masikini yaani atatoa kibaba kimoja =600gm, kwahio huyu atafanya yote mawili kwa pamoja.
★Kwa wale wanaodaiwa jamani mulipe kabla mwezi ujaanza
Kwa wale dada zetu mkiwa ktk siku zenu sio tena kwakua mmeruhusiwa kula basi tena unakaa nje unapigilia msosi jifiche sio tena kilamtu ajue upo katika sikuzako.
★Kuna wengine hasa mama zetu utawakuta wapo ktk mwezi lakini hali mchana hii hairuhusiwi utakuwa unakiuka amri ya ALLAH SUB HANA WA'ALA unajishindisha na njaa pasi na sababu.Muhimu kujihifazi wakati wa kula sio tena kila mtu akuone tuwe wasiri katika kula mchana wa ramadhani.
Hawaruhusiwi kushiriki tendo la ndoa mchana ,wanaruhusiwa jioni baada ya kufungulia.MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA
SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
Baadal kheir jannatun naimJazaaka llahu lkhayr
Hamna mme na mke bila ndoa katika Uislam, hao ni mahawara na wanafanya zinaa, zinaa ni uchafu ktk Uislam, km alivyosema Allah fil Qur'anil kariim kwamba;MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA
SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE