Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Asante mkuu
Labla nijazie tu kido KIBABA KIMOJA=600gram

★Pili kuhusu mama mja mzito Kama atashauriwa dactari kutokana na Afya yake ,huyu ataruhusiwa kula mchana wa ramadhani asiwe tena anakaa nje ndio anakula akae ndani na atalipa baada ya kuisha ramadhani.
Mama mjamzito akiwa hakufunga labla kwa kuhufia afya ya mtoto wake ,huyu atalipa kufunga na pia hatawarisha masikini yaani atatoa kibaba kimoja =600gm, kwahio huyu atafanya yote mawili kwa pamoja.

★Kwa wale wanaodaiwa jamani mulipe kabla mwezi ujaanza
Kwa wale dada zetu mkiwa ktk siku zenu sio tena kwakua mmeruhusiwa kula basi tena unakaa nje unapigilia msosi jifiche sio tena kilamtu ajue upo katika sikuzako.
★Kuna wengine hasa mama zetu utawakuta wapo ktk mwezi lakini hali mchana hii hairuhusiwi utakuwa unakiuka amri ya ALLAH SUB HANA WA'ALA unajishindisha na njaa pasi na sababu.Muhimu kujihifazi wakati wa kula sio tena kila mtu akuone tuwe wasiri katika kula mchana wa ramadhani.
samahani mkuu
mimi huwa sipa elewi hapa m'napo
sema kwamba mama mjamzito aruhusiwi kufunga ila baada ya kujifungua alipe siku alizo kula mchana
SWALI:
Mama mja mzito baada ya kujifungua si ana ingia kwenye kunyonyesha na dhani n miaka 2 hivi.
pia mwanamke anae nyonyesha ni haramu kufunga sasa huyu mwanamke alie zaa ata lipa vipi swaumu yale ile ambayo aku funga kipindi cha ujauzito
hapa ndio huwa kwenye utata
maana mjamzito na anae nyonyesha ni haramu kufunga pia aruhusiwi kulipa au
.......msaada wenu
wabirah tofiq asalamu aleikumu
 
Hamna mme na mke bila ndoa katika Uislam, hao ni mahawara na wanafanya zinaa, zinaa ni uchafu ktk Uislam, km alivyosema Allah fil Qur'anil kariim kwamba;
"Na msiikurubie zinaa hakika zinaa ni uchafu na ni dhambi kubwa"
Ili ufunge unatakiwa kuwa tohara, na hao watu wawili hawako tohara inaamaana hawana funga wanashinda na njaa.
kweli kabisa
m/mungu ali weka sheria ya ndoa ili kuepusha zinaa na mengineo yatoka nayo na zinaa,
watu wana ishi kama mke na m,me na wana zaa watoto lakini kufunga ndoa kwao ni mwiko INALIRAKH WA INNAHLIRAKHI RAJUUN
 
Hawaruhusiwi kushiriki tendo la ndoa mchana ,wanaruhusiwa jioni baada ya kufungulia.
duh bro bila ndoa ni zinaa kabisa haram kabisa 17:32
Surah Al-Isra, Verse 32:
وَلَا تَقْرَبُوا الزِّنَا إِنَّهُ كَانَ فَاحِشَةً وَسَاءَ سَبِيلًا

And go not nigh to fornication; surely it is an indecency and an evil way.
 
MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA

SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
ila ndoa hakuna kitu kama hicho ila wenye ndoa wamehalalishiwa usiku pekee bila ndo hata miez ya kawaida haram
Surah Al-Isra, Verse 32:
وَلَا تَقْرَبُوا الزِّنَا إِنَّهُ كَانَ فَاحِشَةً وَسَاءَ سَبِيلًا

And go not nigh to fornication; surely it is an indecency and an evil way.
 
MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA

SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
Surah Al-Baqara, Verse 187:
أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَىٰ نِسَائِكُمْ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ عَلِمَ اللَّهُ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَخْتَانُونَ أَنفُسَكُمْ فَتَابَ عَلَيْكُمْ وَعَفَا عَنكُمْ فَالْآنَ بَاشِرُوهُنَّ وَابْتَغُوا مَا كَتَبَ اللَّهُ لَكُمْ وَكُلُوا وَاشْرَبُوا حَتَّىٰ يَتَبَيَّنَ لَكُمُ الْخَيْطُ الْأَبْيَضُ مِنَ الْخَيْطِ الْأَسْوَدِ مِنَ الْفَجْرِ ثُمَّ أَتِمُّوا الصِّيَامَ إِلَى اللَّيْلِ وَلَا تُبَاشِرُوهُنَّ وَأَنتُمْ عَاكِفُونَ فِي الْمَسَاجِدِ تِلْكَ حُدُودُ اللَّهِ فَلَا تَقْرَبُوهَا كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ اللَّهُ آيَاتِهِ لِلنَّاسِ لَعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ

It is made lawful to you to go into your wives on the night of the fast; they are an apparel for you and you are an apparel for them; Allah knew that you acted unfaithfully to yourselves, so He has turned to you (mercifully) and removed from you (this burden); so now be in contact with them and seek what Allah has ordained for you, and eat and drink until the whiteness of the day becomes distinct from the blackness of the night at dawn, then complete the fast till night, and have not contact with them while you keep to the mosques; these are the limits of Allah, so do not go near them. Thus does Allah make clear His communications for men that they may guard (against evil).

bro aya hyo hapo ila mie ninao wa english cna maana ya kiswahili kwa swal uliloliuliza juu ya wanandoa tu walooana inawahusu.
 
Katika mtihani mwingine unaotusibu waislam ni kukuta mke ama mume ndo anafanya ibada, familia nzima mtihani, Allah atunusuru.
mtihani mkuu hizi ndo zama za mwisho alizotabiri Mtume.(s.aw), waislamu dini tumeiweka pembeni tunahangaika na dunia, na mwisho wa hivi huwa mbaya sababu utakosa vyote, mfano mzuri tunao maisha yanaendelea kuwa magumu na imani zimetupotea
 
samahani mkuu
mimi huwa sipa elewi hapa m'napo
sema kwamba mama mjamzito aruhusiwi kufunga ila baada ya kujifungua alipe siku alizo kula mchana
SWALI:
Mama mja mzito baada ya kujifungua si ana ingia kwenye kunyonyesha na dhani n miaka 2 hivi.
pia mwanamke anae nyonyesha ni haramu kufunga sasa huyu mwanamke alie zaa ata lipa vipi swaumu yale ile ambayo aku funga kipindi cha ujauzito
hapa ndio huwa kwenye utata
maana mjamzito na anae nyonyesha ni haramu kufunga pia aruhusiwi kulipa au
.......msaada wenu
wabirah tofiq asalamu aleikumu
Ndugu yangu katika imaan
Uislamu umelazimisha mama kunyonyesha kwa miaka miwili mfululizo(ceteris peribus)

Qur an inaeleza ikiwa mtu atashindwa kufunga kutokana na ugonjwa ama safari basi asifunge na itakapokwisha ramadhan basi atakuja kulipa.

Ikiwa mama ni mjamzito na baadae atanyonyesha kwa miaka miwili na ikiwa hali yake hatomuwezesha kufunga kutokana na udhaifu ama kufunga kwake kutapelekea mtoto kukosa maziwa basi hapana shaka sheria imemruhusu kutofunga.

Hivyo basi hatofunga wala kulipia kwa kuwa ndani ya miaka miwili atakuwa yupo katika kazi ya kunyonyesha.
Allah asema katika qur an kuwa hatakiini uzito bali anawatakieni wepesi hivyo basi mama huyu hatofunga na wala hatokuja kulipa swaumu alizopoteza kufunga,hakika allah ni mwingi wa rehma na msamaha.

NB
Allah ametuumba watu wenye nguvu na uwezo tofauti yupo yule alijaaliwa na allah nguvu na siha njema na akaweza kunyonyesha na kufunga bila hitilafu yoyote huyu aweza kufunga ila kwa yule mtu weak na ambaye hakujaaliwa basi hatofunga.

Wa- llahu aa'lam
 
nime elewa mkuu
naamin na wengine wame pata kitu hapa ni vyema kuju zana pale m'moja anapo kuwa na walakin na kitu fulani ni bora kuuliza ili aweze kufahamu vyema
m/mungu atu wekee wepesi katika mwezi huu wa Ramadhan
 
715d169e617b790c0f9f216093777efb.jpg
 
Assalam Alaykum ndugu zangu katika imani kutokana na mgeni wetu kutoka kwa Allah(S.W) si mwengine ni Ramadhani hakika.mwezi ulotukuka katika miezi YOTE kwani mwezi wa ibada na Taqwa na ndio mwezi Quraan tukufu imeshuka na hakika ni.mwezi zaidi wa kusoma quraan.Katika kujiandaa na hilo nawapa link.tujitahidi kudownload msahaf ulikua na Ahkamil quran yaani uloainisha hukumu za quran namna wa kuisoma sio kwa sauti ya chini hapana kwa mpangilio kama katika sura ya
Surah Al-Muzzammil, Verse 4:
أَوْ زِدْ عَلَيْهِ وَرَتِّلِ الْقُرْآنَ تَرْتِيلًا

Or add to it, and recite the Quran as it ought to be recited.
Imewekewa alama katika ahkami zote sita kuna alama jinsi utakavyosoma kwani najua kutokana na shughuli za watu wengi wetu tutashindwa kubeba mchana kwa ubize na pirika zinazotuzonga.
iQuran Pro Apk Full Latest v2.5.4 | ProApkFulls
 
Back
Top Bottom