Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama upo Zenji sahau mkuu!Nawatakia mfungo mwema Ndugu zangu, ila ile sheria ya kula hadharani nadhani mimi ndio nitakuwa wakwanza kuivunja, Mtanisamehe bure aisee
zenji nakwenda leo ijumaakama upo Zenji sahau mkuu!
Shukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.kالسلام عليكم و رحمة الله و بركاته
*KARIBU TUPANGE KWA AJILI YA RAMADHANI 1438*
_BAHASHA LA KUPANGA_
*1: Nini*
*2: Kwa nini*
*3: Nani*
*4: Vipi*
*5: Wapi*
*6: Lini*
*7: Gharama kiasi gani*
*8: Kwa faida ya nani*
Maswali haya tulisema yana tuongoza kufikiri na kutafakari kwa makini ili kuhakikisha tunakua na uelewa mpana kabla ya kutenda.
Kwa kuanza kufungua bahasha letu la kupanga kwa ajili ya ramadhani 1438.
*1: Nini lengo la kupanga kwa ajili ya ramadhani 1438 ?*
_Jibu: Kufikia lengo la swaum *kua wacha mungu*_
*2: Kwa nini , au lengo hili lina umuhimu gani kwa sasa ?*
_Jibu : Ili waislam waweze kutekeleza amri na kuacha makatazo_
*3: Vipi au namna gani lengo hilo litafikiwa ?*
_Jibu : Kwa kufanya maandalizi sahihi ya *Kinafsi , Kimwili na ya kijamii*_
*4: Lini au muda gani utekelezaji wake utakua muafaka na manufaa zaid ?*
_Jibu : Toka kuandama mwezi mwadamo Wa ramadhani hadi kuanza kwa mwezi Wa shawwaal._
*6: Wapi au ni sehemu ipi shughuli hii itafanikiwa zaid ?*
_Jibu : Nchini Tanzania chini ya mazingira ya kitwaghut_
*7: Kwa gharama kiasi gani ?*
_Jibu: Kwa kuandaa bajeti ya futari na daku za halali_
*8: Juhudi zote hizi kwa faida ya nani ?*
_Jibu: Kwa mwislam binafsi , familia yake na jamii ya kiislam_
*_Kwa tafakuri yako binafsi na wewe pia unaweza na majibu tofauti ni haya ila niya yetu ni kila mmoja wetu awe na uelewa kwa tunalotakiwa kutenda_*
*_KAZI BINAFSI YA LEO_*
✍ Kutokana na swali namba 1&2
_Andika malengo madogo 5 ambayo ungependa kuyatimiza Ktk ramadhani hii ya mwaka 1438 iwapo utakua ni miongoni watakao wezeshwa na Allah kuikamilisha_
*_Malengo hayo yawe:_*
_1: Mepesi yanayotekelezeka_
_2: Muda Wa kuanza na kukamilika_
_3: Na mtu wa kukusimamia kama umetekeleza_
_4: Kufanyiwa tathmini_
_5: Jiwajibishe mwenyewe iwapo utaona umeshindwa kutekeleza_
سبحانك اللهم و بحمدك اشهد ان لااله الا انت استغفرك واتوب اليك
Nasubiria mualiko in shaa AllahShukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
Inshallah![]()
Ramadhani Kareeem ummat Muhammad swalallah alleyhi wasalaam.
Naaam niko hapa dar nialike kwenye swala la futari nna uzoefu wa kutosha nimepata uthibitisho kutoka TFDA ukinialika hautajutia. wako mtiifu katika ImankShukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
nafahamu sana hilo, nilitaka tu uje tumuunge mkono Hance Mtanashati katika jambo hili la kheri alilolianzisha tumefurahi kukuona na uwe unaendelea kupita katika huu uziAsalaam Alaikum.
Kwangu kwanza kabisa ni Uislam.
Hayo ya CCM ni kama Simba na Yanga ushabiki tu wa kidunia, yasitufanye tukachukiana kama binadam.
Ramadhan Kareem.