Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Hata miaka ya nyuma thread kama hii ilikuwepo kipindi cha ramadhani?, nilkuwa bado mdogo
 
Asalam alaiquim jamiya,

Mwezi mtukufu wa ramadhan unaingia, ni mwezi muhimu sana kwa dini ya uislam. Mwezi wa kuamasishana mema na kukatazana mabaya,

Kwa wale ndugu zangu, naomba tuwe tukumbushane mema na kupashana habari kupitia thread hii,
Naomba tutumie muda huu kwa kupata fadhila njema za mwenyezi mungu,

Waadha asalam alaiquim..
 
السلام عليكم و رحمة الله و بركاته

*KARIBU TUPANGE KWA AJILI YA RAMADHANI 1438*

_BAHASHA LA KUPANGA_

*1: Nini*
*2: Kwa nini*
*3: Nani*
*4: Vipi*
*5: Wapi*
*6: Lini*
*7: Gharama kiasi gani*
*8: Kwa faida ya nani*

Maswali haya tulisema yana tuongoza kufikiri na kutafakari kwa makini ili kuhakikisha tunakua na uelewa mpana kabla ya kutenda.

Kwa kuanza kufungua bahasha letu la kupanga kwa ajili ya ramadhani 1438.

*1: Nini lengo la kupanga kwa ajili ya ramadhani 1438 ?*

_Jibu: Kufikia lengo la swaum *kua wacha mungu*_

*2: Kwa nini , au lengo hili lina umuhimu gani kwa sasa ?*

_Jibu : Ili waislam waweze kutekeleza amri na kuacha makatazo_

*3: Vipi au namna gani lengo hilo litafikiwa ?*

_Jibu : Kwa kufanya maandalizi sahihi ya *Kinafsi , Kimwili na ya kijamii*_

*4: Lini au muda gani utekelezaji wake utakua muafaka na manufaa zaid ?*

_Jibu : Toka kuandama mwezi mwadamo Wa ramadhani hadi kuanza kwa mwezi Wa shawwaal._

*6: Wapi au ni sehemu ipi shughuli hii itafanikiwa zaid ?*

_Jibu : Nchini Tanzania chini ya mazingira ya kitwaghut_

*7: Kwa gharama kiasi gani ?*

_Jibu: Kwa kuandaa bajeti ya futari na daku za halali_

*8: Juhudi zote hizi kwa faida ya nani ?*

_Jibu: Kwa mwislam binafsi , familia yake na jamii ya kiislam_

*_Kwa tafakuri yako binafsi na wewe pia unaweza na majibu tofauti ni haya ila niya yetu ni kila mmoja wetu awe na uelewa kwa tunalotakiwa kutenda_*


*_KAZI BINAFSI YA LEO_*

✍ Kutokana na swali namba 1&2

_Andika malengo madogo 5 ambayo ungependa kuyatimiza Ktk ramadhani hii ya mwaka 1438 iwapo utakua ni miongoni watakao wezeshwa na Allah kuikamilisha_

*_Malengo hayo yawe:_*

_1: Mepesi yanayotekelezeka_
_2: Muda Wa kuanza na kukamilika_
_3: Na mtu wa kukusimamia kama umetekeleza_
_4: Kufanyiwa tathmini_
_5: Jiwajibishe mwenyewe iwapo utaona umeshindwa kutekeleza_

سبحانك اللهم و بحمدك اشهد ان لااله الا انت استغفرك واتوب اليك
Shukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
 
Shukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
Nasubiria mualiko in shaa Allah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Watoto Waamrishwe Swiyaam Wanapofikisha Miaka Saba

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu-Allaah)


SWALI:

Je, mvulana ambaye kakomaa anapaswa kuamrishwa swiyaam? Je, Swawm yake ni sahihi ikiwa atabaleghe wakati wa Swawm (katika Ramadhwaan)?


JIBU:

Ikiwa wavulana na wasichana wanafikisha umri wa miaka saba wanapaswa kuamrishwa kuanza swiyaam ili wajizoeze. Wazazi wao ni juu yao kuwaamrisha Swawm hali kadhalika kama wanavyopasa kuwaamrisha Swalah. Wanapobaleghe, Swawm imewawajibikia. Ikiwa watakomaa wakati wa Swawm, siku zao (wanazofunga) ni sahihi. Ikiwa mvulana atafikisha miaka kumi na tano mchana wakati yuko na Swawm, siku yake ni sahihi. Mwanzo wa siku hiyo (Swawm kwake) ilikuwa ni Sunnah na mwisho wake itakuwa ni waajib ikiwa tayari kishatokwa na nywele za sehemu za siri au kishaanza kutokwa na manii. Hali kadhalika inawahusu wanawake ambao wanabaleghe kwa kutokwa na damu ya hedhi.



[Fataawa Ibn Baaz Hukmu Amr Asw-Swabiy Al-Mumayyiz Bisw-Swiyaam]
 
Nadhani hata viongozi wa dini yetu kuanzia baraza mkuu la waislam, jumuiya na taasisi za kiislam na ule umoja wa suni, wangekaa chini tu pamoja ili wakubaliane kwamba waislam wote wa tanzania wafunge kutokana na mwandamo wa kitaifa ama kimaitaifa ingekuwa bora zaidi.
 
Pia katika kipindi hiki cha Ramadhan muache na nyimbo, sikilizeni nashid nzuri kama hizi
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤن
ﺃﺩﺍﺀ : ﻣﺸﺎﺭﻱ ﺍﻟﻌﻔﺎﺳﻲ | ﺍﻟﺼﻨﻒ : ﺃﻧﺎﺷﻴﺪ ﺧﻠﻴﺠﻴﺔ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻟﻠﻪ ﻟﻠﻪ ﻳﻬﻔﻮ ﺃﻣﻠﻲ ﻟﻠﻪ
ﻭﻟﺤﻔﻆِ ﻛﺘﺎﺏِ ﺍﻟﻠﻪ
ﻣﻦ ﺃﻭﻝِ ﺑﺎﺳﻢ ِ ﺍﻟﻠﻪ
ﻟﻠﺨﺘﻢ ﻭﻟﻠﺮﺿﻮﺍﻥ
ﻳﺎ ﻧﻮﺭ ﻳﺎ ﻧﻮﺭ
ﻳﺎ ﻣــُـﺤﻜﻢ ﻳﺎ ﺗﻨﺰﻳﻞ
ﻟﻤﺤﻤﺪ ﻋﻦ ﺟﺒﺮﻳﻞ
ﻣﻦ ﺭﺏ ﺍﻟﻌﺮﺵ ﺩﻟﻴﻞ
ﻟﻠﻌﺎﻟﻢ ﻭﺍﻷﻧﺴﺎﻥ
ﺗﻜﺒﻴﺮ ﺗﻜﺒﻴﺮ
ﻟﻠﺤﺎﻓﻆِ ﻭﻫﻮ ﺻﻐﻴﺮ
ﻭﺿـّﺎﺀ ﺍﻟﻌﻴﻦ ﻗﺮﻳﺮ
ﻳﺤﻤﻞُ ﻓﺠﺮﺍً ﻟﻴــُـﻨﻴﺮ
ﺑﺘﻼﻭﺗﻪ ﺍﻷﻛﻮﺍﻥ
ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻠﻬﻢ ﺍﺟﻤﻌﻨﺎ
ﺑﻜﺘﺎﺑﻚ ﻭ ﺍﻧﻔﻌﻨﺎ
ﻭﺍﺟﻌﻠﻪ ﻟﻨﺎ ﺣﺼﻨﺎ
ﻭﻫﺪﻯ ﺃﺑﺪﺍ ﻭﺃﻣﺎﻥ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
 
WHAT YOU SHOULD KNOW ABOUT FASTING

1. When the month of Ramadan starts, the gates of paradise are opened, the gates of hell are closed and the devils are chained. (Al-Bukhari 1898, Muslim 1079)

2. Every Muslim must make intention before fajr to fast(for an obligatory fast). Intention is not uttered. It is determination in the mind and should not be done with audible wordings. (Al Bukhari 1, Abu Dawood 2454)

3. Fasting is NOT just abstaining from eating and drinking, it is also refraining from vain speech and foul language. If one is verbally abused, he should say 'I am fasting' (Muslim 1151)

4. Taking the pre-dawn meal (Sahuur) is a BLESSING. Every Muslim is expected to take the meal EVEN if with a mouthful of water. (Al Bukhari 1923, Ahmad 44)

5. It is the Sunnah to DELAY the Sahuur and HASTEN to break the fast as soon as the sun sets. (Al Bukhari 1921, Muslim 1099)

6. If one hears the call to prayer WHILE still eating the Sahuur, he should not stop eating, rather he should finish his food. (Abu Dawud 2350)

7. Whosoever does not give up speaking falsely and acting on lies and evil actions, Allaah does not care for his abstaining from eating and drinking. (Al Bukhari 1903)

8. The Messenger of Allah used to break his fast BEFORE magrib prayer with 3 fresh dates, if there were no fresh dates, he would eat 3 dry dates, if there were no dry dates, he would take 3 draughts of water. (Abu Dawud 2349)

9. Whoever provides a fasting person something with which to break his fast, he will earn the same reward as the person without the person's reward being reduced. (At-tirmidhi 807)

10. It is PERMISSIBLE for a fasting person to bath or pour over his head to relief him of the hotness of the sun or of thirst. (Abu dawud 2365)

11. If somebody eats or drinks FORGETFULLY while fasting, he should complete his fast, for what he has eaten or drunk been given to him by Allaah. (Al Bukhari 1933, Muslim 1155)

12. Zakaatul fitr is OBLIGATORY on every muslim, old & young, slave & free, male & female. One Sa'a (approx. 3kg) of food items should be given out before people go out for the 'Eid prayer. (Al Bukhari 579/2, Muslim 2159)

13. The Messenger of Allaah never proceeded(for prayer) on the day of 'Eid ul fitr unless he had eaten some odd number of dates. (Al Bukhari 73/2)

14. We should put on our BEST garments and chant Adhkaar TO & FRO the Eid ground. (Al Bukhari 88,89,102/2)

15. On the day of Eid, the Messenger of Allaah used to return (after offering the Eid prayer) through a way DIFFERENT from that by which he went. (Al Bukhari 102/2).
16. Whoever observes fast in Ramadan and also fasts for six days in Shawwal, the reward of a whole year fast is recorded for him. (Muslim 2614/6).
 
91f11ad3f1c2fd1c65bceee47b8512f8.jpg


Ramadhani Kareeem ummat Muhammad swalallah alleyhi wasalaam.
 
Shukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
Naaam niko hapa dar nialike kwenye swala la futari nna uzoefu wa kutosha nimepata uthibitisho kutoka TFDA ukinialika hautajutia. wako mtiifu katika Imank
 
Asalaam Alaikum.

Kwangu kwanza kabisa ni Uislam.

Hayo ya CCM ni kama Simba na Yanga ushabiki tu wa kidunia, yasitufanye tukachukiana kama binadam.

Ramadhan Kareem.
nafahamu sana hilo, nilitaka tu uje tumuunge mkono Hance Mtanashati katika jambo hili la kheri alilolianzisha tumefurahi kukuona na uwe unaendelea kupita katika huu uzi
Tunakupenda sana!
 
Back
Top Bottom