manchoso
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 1,605
- 2,055
nenda wakakufuturu bila ujizenji nakwenda leo ijumaa
ukipigwa pia ulete mrejesho au bora muambie mzee wa vitasa Hance Mtanashati akuescort
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda wakakufuturu bila ujizenji nakwenda leo ijumaa
ni kweli mkuu ila hayo mambo si mahali pake hapa na na zaidi anachojaribu kushauri dimaa ni kuwa tuwe kitu kimoja na tuisome ili tuelewe dini inataka nini kutoka kwetu, kwani Allah (s.w) yeye haangilii itikadi yako unamfata/haumfuati nani yeye anaangalia taqwaHadithi hiyo ya kugawanyika umma kuwa ni rahma sio sahihi. Ni maudhwuuu(uongo).
Kwani kinyume chake itakuwa 'ijtimaai ummatii naqma'
MashaAllahPia katika kipindi hiki cha Ramadhan muache na nyimbo, sikilizeni nashid nzuri kama hizi
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤن
ﺃﺩﺍﺀ : ﻣﺸﺎﺭﻱ ﺍﻟﻌﻔﺎﺳﻲ | ﺍﻟﺼﻨﻒ : ﺃﻧﺎﺷﻴﺪ ﺧﻠﻴﺠﻴﺔ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻟﻠﻪ ﻟﻠﻪ ﻳﻬﻔﻮ ﺃﻣﻠﻲ ﻟﻠﻪ
ﻭﻟﺤﻔﻆِ ﻛﺘﺎﺏِ ﺍﻟﻠﻪ
ﻣﻦ ﺃﻭﻝِ ﺑﺎﺳﻢ ِ ﺍﻟﻠﻪ
ﻟﻠﺨﺘﻢ ﻭﻟﻠﺮﺿﻮﺍﻥ
ﻳﺎ ﻧﻮﺭ ﻳﺎ ﻧﻮﺭ
ﻳﺎ ﻣــُـﺤﻜﻢ ﻳﺎ ﺗﻨﺰﻳﻞ
ﻟﻤﺤﻤﺪ ﻋﻦ ﺟﺒﺮﻳﻞ
ﻣﻦ ﺭﺏ ﺍﻟﻌﺮﺵ ﺩﻟﻴﻞ
ﻟﻠﻌﺎﻟﻢ ﻭﺍﻷﻧﺴﺎﻥ
ﺗﻜﺒﻴﺮ ﺗﻜﺒﻴﺮ
ﻟﻠﺤﺎﻓﻆِ ﻭﻫﻮ ﺻﻐﻴﺮ
ﻭﺿـّﺎﺀ ﺍﻟﻌﻴﻦ ﻗﺮﻳﺮ
ﻳﺤﻤﻞُ ﻓﺠﺮﺍً ﻟﻴــُـﻨﻴﺮ
ﺑﺘﻼﻭﺗﻪ ﺍﻷﻛﻮﺍﻥ
ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻠﻬﻢ ﺍﺟﻤﻌﻨﺎ
ﺑﻜﺘﺎﺑﻚ ﻭ ﺍﻧﻔﻌﻨﺎ
ﻭﺍﺟﻌﻠﻪ ﻟﻨﺎ ﺣﺼﻨﺎ
ﻭﻫﺪﻯ ﺃﺑﺪﺍ ﻭﺃﻣﺎﻥ
ﺭﺣﻤﻦ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺳﺎﻋﺪﻧﻲ ﻳﺎ ﺭﺣﻤﻦ
ﺍﺷﺮﺡ ﺻﺪﺭﻱ ﻗﺮﺁﻥ
ﺃﻣﻸ ﻗﻠﺒﻲ ﻗﺮﺁﻥ
ﻭﺍﺳﻘﻲ ﺣﻴﺎﺗﻲ ﻗﺮﺁﻥ
Inshallah....allah atufanyie wepesi na atuongoze kwenye mema ktk mwezi huu mtukufu na siku zetu zote zilizobaki kabla ya kwenda mbele ya haki....Ramadhan Kareem
Nawaombeni maakhii bila kuharibu uzi huu adhimu, watakaoshiriki. wajitaje:Mfano nitahudhuria InshaaAllah no1 nkShukrani akhii. Mimi kwa upande wangu, nimepanga kwa uwezo wa Allah, Kumi la kwanza niwaalike ndugu zangu wa kwenye uzi huu, Futari hasa hasa wanaoishi Dar Es Salaam.Tushauriane juu ya wapi sehemu yenye stara, gharama nafuu n.k
SubhanAllah!Asalam alykum warahma tullah wabarakatuh
Mimi nitahudhuria InshaalahNawaombeni maakhii bila kuharibu uzi huu adhimu, watakaoshiriki. wajitaje:Mfano nitahudhuria InshaaAllah no1 nk
Mimi nitahudhuria Inshaalah
Funga yko itaswihi nduguAssalam aleykm warahmatullah wabatakatul! Naomba kujuzwa juu ya ulaj/ kutokula daku.Je nikiacha kula daku funga yangu itaswih?
Na mie nimo mkuu usinisahau ,nakosaje kwa mfano?????Nawaombeni maakhii bila kuharibu uzi huu adhimu, watakaoshiriki. wajitaje:Mfano nitahudhuria InshaaAllah no1 nk
Amina Shukran nyingi kwako nduguNawatakia mfungo mwema wakuu, Mungu awajalie wepesi