Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Mwisho kabisa napenda kuwahusia kuhusu kuswali ,kamwe msipuuze swala kwa sababu yoyote ile isiyokuwa ya msingi
Maashaallah,hakika swala ni muhimu kwa maisha ya muislam na hiyo ndo tofaut pekee Kati ya muislam na asiye muislam


Inshaallah Allah atufanyie wepec atupe afya na uzima tuweze kutekeleza tena ibada yake ya funga,tuzidishe imani zetu na tubadilike tusirudie tuliyoyafanya nyuma....Inshaallah
Jumaa Mubarak.
 
181a70c8a8d7658921da55d70a5188ec.jpg
Tunakumbushana tu, panapo uhai na majaaliwa.
Jumaa Mubbarak.
 
Mkuu sala haiondoi funga

Hizo ni ibada mbili tofauti

Ila inashauriwa ukifunga uswali maana utapata thawabu nyingi sana

Ila ukifunga na usiswali funga yako inakubalika kama kawaida cha muhimu uwe umetia nia na umejizuia na yale yote yanayotengua funga.
Bila kuswali huna funga kwasababu
1.ili ufunge lazma uwe muislam na ili uwemuislam laxma uswali kuna hadith moja mtume anasema "tofauti yetu na wao ni swala" na kuna nyingine anasema "mwenye kuiacha swala ameivinja din" na hata wakat anaondoka dunian aliusia sana juu ya swala.hivyo ikifunga bila kiswali sawa umekaa na njaa tu
 
اَلْحَمدُ لِلَّـهِ الَّذِی اَحْيَنٓا بَعدَ مَا اَمَتَّنَا وَاِلَيْهِ النُّشُور. وَبَعْد. السَّلاَم عَلَيْكُم وَرَحْمَتُ اللَّـهِ وَبَرَكَةُ. اَلْيَوم ٤ فِ شَعْبَان ١٤٣٩ هِجرِيَّ يُسَاوِي التَرِيخ ٢١/٤/٢٠١٨ اَليَومِ السَّبت مِلاَدِيَّ.
اَتَمَنَّى لَكَ يَومَ جَيِّدَ.
 
Back
Top Bottom