Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,835
- 4,464
MsisitizoVIPI ITAKUBALIKA FUNGA YAKO YA RAMADHAAN
[emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843][emoji843]
[emoji820] ﻣَــﻦْ ﻫُــﻮَ ﺍﻟﺼَّﺎﺋِــﻢُ ؟؟
Ni nani aliyefunga?
[emoji871] ﻗَـﺎﻝَ الإمَـامُ ﺍﺑْـﻦُ ﺍﻟﻘَـﻴِّﻢ -ﺭَﺣِــﻤَﻪُ ﺍﻟﻠﻪ-:
[emoji996]Amesema Ibnul Qayyim Allah amrehemu.
● ﻭﺍﻟﺼَّﺎﺋﻢ ﻫﻮ ﺍﻟَّﺬﻱ ﺻﺎﻣﺖ ﺟﻮﺍﺭﺣﻪ ﻋﻦ ﺍﻵﺛﺎﻡ
[emoji419] Na aliyefunga ni yule ambaye vimefunga viungo vyake kutokana na madhambi.
● ﻭﻟﺴﺎﻧﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﻜﺬﺏ ﻭﺍﻟﻔﺤﺶ ﻭﻗﻮﻝ ﺍﻟﺰُّﻭﺭ
[emoji362]Na ukafunga ulimi wake kutokana na uongo na maneno machafu na kauli mbaya.
● ﻭﺑﻄﻨﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻭﻓﺮﺟﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﺮَّﻓَﺚ،
[emoji619]Na likafunga tumbo lake kutokana chakula na vinywaji, na tupu yake kutokana jimaai.
● ﻓﺈﻥْ ﺗﻜﻠَّﻢ ﻟﻢ ﻳﺘﻜﻠَّﻢ ﺑﻤﺎ ﻳﺠﺮﺡ ﺻﻮﻣﻪ
[emoji981]Ikiwa ataongea haongei yale ambayo yataharibu swaumu yake.
● ﻭﺇﻥ ﻓﻌﻞ ﻟﻢ ﻳﻔﻌﻞ ﻣﺎ ﻳﻔﺴﺪ ﺻﻮﻣﻪ
[emoji992]Na akifanya jambo hafanyi yale ambayo yataharibu swaumu yake.
● ﻓﻴﺨﺮﺝ ﻛﻼﻣﻪ ﻛﻠُّﻪ ﻧﺎﻓﻌًﺎ ﺻﺎﻟﺤًﺎ،
[emoji938]Yanatoka maneno yake yote ni yenye manufaa na mazuri.
● ﻭﻛﺬﻟﻚ ﺃﻋﻤﺎﻟﻪ ﻓﻬﻲ ﺑﻤﻨﺰﻟﺔ ﺍﻟﺮَّﺍﺋﺤﺔ ﺍﻟَّﺘﻲ ﻳﺸﻤُّﻬﺎ ﻣﻦ ﺟﺎﻟﺲ ﺣﺎﻣﻞ ﺍﻟﻤﺴﻚ،
[emoji625] Na vilevile matendo yake ni sawa na harufu ambayo anainusa ambaye amekaa na mbeba miski.
● ﻛﺬﻟﻚ ﻣﻦ ﺟﺎﻟﺲ ﺍﻟﺼَّﺎﺋﻢ ﺍﻧﺘﻔﻊ ﺑﻤﺠﺎﻟﺴﺘﻪ
[emoji818] Na vilevile mwenye kukaa na mfungaji hunufaika kwa kukaa naye.
● ﻭﺃَﻣِﻦ ﻓﻴﻬﺎ ﻣﻦ ﺍﻟﺰُّﻭﺭ ﻭﺍﻟﻜﺬﺏ ﻭﺍﻟﻔﺠﻮﺭ ﻭﺍﻟﻈُّﻠﻢ،
[emoji832]Atasalimika kwake na maneno mabaya na uongo na uovu na dhulma.
● ﻫـﺬﺍ ﻫﻮ ﺍﻟﺼـَّﻮﻡ ﺍﻟﻤﺸـﺮﻭﻉ ﻻ ﻣﺠـﺮَّﺩ ﺍﻹﻣـﺴﺎﻙ ﻋﻦ ﺍﻟﻄَّـﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّـﺮﺍﺏ.
[emoji830]Hii ndio swaumu iliyo fundishwa na sharia si tu kujizuia kutokana na chakula na vinywaji.
● ﻓﺎﻟﺼَّﻮﻡ ﻫﻮ ﺻﻮﻡ ﺍﻟﺠﻮﺍﺭﺡ ﻋﻦ ﺍﻵﺛﺎﻡ
[emoji363] Basi funga nikufunga viungo kotokana na madhambi .
● ﻭﺻﻮﻡ ﺍﻟﺒﻄﻦ ﻋﻦ ﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻭﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ،
[emoji626] Natumbo kutokana na kunywa na kula.
● ﻓﻜﻤﺎ ﺃﻥَّ ﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻳﻘﻄﻌﻪ ﻭﻳﻔﺴﺪﻩ ﻓﻬﻜﺬﺍ ﺍﻵﺛﺎﻡ ﺗﻘﻄﻊ ﺛﻮﺍﺑَﻪ ﻭﺗﻔﺴﺪُ ﺛﻤﺮﺗَﻪ، ﻓﺘُﺼَﻴِّﺮﻩ ﺑﻤﻨﺰﻟﺔ ﻣﻦ ﻟﻢ ﻳﺼُﻢ .
[emoji434] Kama ilivyokua chakula na kinywaji vinaharibu swaumu, vilevile madhambi huaribu thawabu za swaumu na matunda yake.
[emoji427] [ "ﺍﻟﻮﺍﺑﻞ ﺍﻟﺼَّﻴِّﺐ" صـ
VIPI ITAKUBALIKA FUNGA YAKO YA RAMADHAAN