Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

بسم الله الرحمن الرحيم​

اللهم انت الملك، لااله الا انت، انت رب وان عبدك، الظلمت نفسي وعترفت بالذنبي، فغفرلي ذنوبي جميع، انه الا يغفر الذنوب الا انت، وحدني لاحسن الاحلاك، لا يهدي لحسنها الا انت، وصرف عني سياهي لا يصرف عني سياهي الا انت، لبيك وسعديك، والحير كله بيديكا، والشر ليس اليكا، انبك واليكا، تباركت ربنا وتعليكا، نستغفروك واتوبي اليكا.
Nimesoma dua hii kwa kumtaka msamaha Allah (S.W), kwani mimi ni mja wake pia ni kiumbe dhaifu. Sio vibaya kila mmoja wetu kuisoma dua hii.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Lkn mbon ni mara nyingi huwa tunakinzana kweny kufunga na kufungua pia kuna watu jana wamekamilisha 30shaaban kuna watu wanakamilisha leo 30inakuwaje sasa hapa
Jielimishe zaidi kuhusu masuala ya mwezi. Sikiliza kwa umakini hoja za pande mbili zinazohitilafiana kuhusu muandamo wa mwezi utaelewa wapi wako sahihi
 
Back
Top Bottom