Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani Sana kwa ukumbusho ,tunaomba link ya ule Uzi wa Ramdhan Threads uwekwe hapa... Tupate kujiwaidhi ..
Naam shukrani akhyRamadhan Special Thread
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu. Vitu...www.jamiiforums.com
Ramadhan Special Thread
Naam, ingawaje mlango wa taubah kwa Allah upo wazi, kazi kwako kuyajutia madhambi na kumwomba mwingi wa msamaha akusameheShukrani sana ustadhat hakika mwezi wa toba unakaribia
AmiiinAllahumma Aamiyn thummaa Aamiyn Yaa Rabbil taqabbal duaa
Ma shaa allah, ndio raha ya kuwaita wenye elimu, ila huku mwisho wasilalae bana wafanye ibada ni nyingi mno yani nyingi sana hata wafanye ibada ya kutafakari uumbaji wa allah,Amiin ukhty wangu
Hakika umefanya Jambo jema Sana la kutuzindua na kukaa tayar tayar Kwa mgeni wetu adhwim kabisa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Naam ukhty wanguMa shaa allah, ndio raha ya kuwaita wenye elimu, ila huku mwisho wasilalae bana wafanye ibada ni nyingi mno yani nyingi sana hata wafanye ibada ya kutafakari uumbaji wa allah,
Nimependa mno nyongeza yako
ChiefWakuu naomba kujua,hivi misikitini hapatoshi kufundisha na kukumbushana haya mambo mpaka tulete threads kidini za kuhusu kundi la watu fulani kwenye jamii yenye mchanganyiko kama jf?,
Maana hapa jf si kwa waislam tu,ni wakristo pia,naona haya yangefaa yawe maalum kwa watu wa imani husika,sasa hapa jukwaani yana umuhinu gani mambo haya?,
Kuna watu mnashida kweli, ulivoona neno ramadhan ukajua uhusiki huku sasa kwa ninj ukasoma? Unadhani kila mtu anaenda kanisani au msikitini? Nasaha zinatolewa msikitini au kanisani peke yake?Wakuu naomba kujua,hivi misikitini hapatoshi kufundisha na kukumbushana haya mambo mpaka tulete threads kidini za kuhusu kundi la watu fulani kwenye jamii yenye mchanganyiko kama jf?,
Maana hapa jf si kwa waislam tu,ni wakristo pia,naona haya yangefaa yawe maalum kwa watu wa imani husika,sasa hapa jukwaani yana umuhinu gani mambo haya?,
Neno kuteseka sijui lina maana gani kwako,lakini hem tafakari uone nimeandika nini.Chief
Kwani humu hatupo waislamu na wakristo?
Hao ambao wangekumbushana misikitini na makanisani ndio hao hao ambao tupo tupo humu
Unateseka ukiwa wapi chief?
Sasa hapa umenijibu kweli?,ina maana mimi kuuliza hili swali nimeonekana nina shida,haya sawa.Kuna watu mnashida kweli, ulivoona neno ramadhan ukajua uhusiki huku sasa kwa ninj ukasoma? Unadhani kila mtu anaenda kanisani au msikitini? Nasaha zinatolewa msikitini au kanisani peke yake?
May the Almighty grant you guidance
Kuna kitu hakipo sawa kwako wallah , Mungu akujalie uongofuNeno kuteseka sijui lina maana gani kwako,lakini hem tafakari uone nimeandika nini.
Shida kubwa ya waislam wengi huwa hamtaki kuulizwa maswali au kujibu hoja,badala yake mtaanza kejeli.
Hivi kweli hayo mambo ni ya kuweka jf wakati misikiti ipo?,ndio swali langu tu.
Neno kuteseka linatumika na watu wasiojali utu wa watu,ramadhani imekaribia,punguza dhihaka na kutumia maneno dhalimu mkuu,haikusaidii kitu.
AlhamdulillahSasa hapa umenijibu kweli?,ina maana mimi kuuliza hili swali nimeonekana nina shida,haya sawa.
Wewe hauna shida mkuu.
Hongera.
Sasa hapo nimekosea nini hadi niongoke?,Kuna kitu hakipo sawa kwako wallah , Mungu akujalie uongofu