Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Hii ingependeza kuwa ndio utaratibu au maisha ya kila siku na si mwezi mmoja tu.
Ni kweli kabisa unayo sema chief

Lakini kutokana na udhaifu wetu kama wanadamu ndio maana tumepewa nafasi ya mwezi mmoja tuifanyie kazi kweli kweli ili tupate mafunzo walau ya kuyaishi miezi Kumi na moja iliyosalia
 
Asante dada kwa kutukumbusha; Nami niweke nyongeza kuwa;
Funga na Sala vinakuwa na nguvu sana mtu akitoa; Kila mtu ajitahidi kutoa kwa kadri Mungu alivyo mbariki
Unaweza kutoa chochote kwa wahitaji; Sadaka, chakula, kuwatembelea wagonjwa, kuchangia damu, nk
Naomba Mungu Atupe Afya Njema ili tuweze kufunga na kukamilisha hii nguzo muhimu
 
Yaani huyu ukhty wangu amekuja kuchafua Uzi makusudi na kututoa katika lengo lililokusudiwa.

Wapuuzi Sana hawa watu,siwezi kuwa mnafiki kanichefua Sana huyu mpuuzi
Mbusu jiwe hasira Kali , mtafute ujilipue
 
Asante dada kwa kutukumbusha; Nami niweke nyongeza kuwa;
Funga na Sala vinakuwa na nguvu sana mtu akitoa; Kila mtu ajitahidi kutoa kwa kadri Mungu alivyo mbariki
Unaweza kutoa chochote kwa wahitaji; Sadaka, chakula, kuwatembelea wagonjwa, kuchangia damu, nk
Naomba Mungu Atupe Afya Njema ili tuweze kufunga na kukamilisha hii nguzo muhimu
Allahuma amin
 
Ni kweli kabisa unayo sema chief

Lakini kutokana na udhaifu wetu kama wanadamu ndio maana tumepewa nafasi ya mwezi mmoja tuifanyie kazi kweli kweli ili tupate mafunzo walau ya kuyaishi miezi Kumi na moja iliyosalia
Kubwa kumwomba Allah atupe kiu ya ibada ili kila leo tujibiidishe na kuweza kudumu na ibada hata baada ya ramadhan in shaa allah
 
Allah atujaalie kheri tuanze mfungo salama na atusamehe dhambi zetu inshallah🙏
Aamin. Allah akulipe kheri dada yangu Aaliyyah, ila hapo kwenye Inshallah, toa weka Aamin. Sababu;

Hadith: None of you should say: O Allah, forgive me if You will; O Allah, be Merciful to me if You will; but he should appeal to Allah with determination, for nobody can force Allah to do something against His will

عن أبي هريرة رضي الله عنه مرفوعاً: «لا يَقُلْ أحدُكم: اللهم اغفِرْ لي إن شِئْتَ، اللهم ارحمني إن شِئْتَ، لِيَعْزِمِ المسألةَ، فإن الله لا مُكْرِهَ له». ولمسلم: «وَلْيُعَظِّمِ الرَّغْبَةَ، فإن الله لا يَتَعَاظَمُه شيءٌ أعطاه».
[صحيح] - [متفق عليه]

Abu Hurayrah (may Allah be pleased with him) reported that the Prophet (may Allah's peace and blessings be upon him) said: ''None of you should say: 'O Allah, forgive me if You will; O Allah, be Merciful to me if You will;' but he should appeal to Allah with determination, for nobody can force Allah to do something against His Will." In another narration by Imām Muslim: "and let him ask Allah for whatever he wishes (no matter how great), for nothing is too great for Allah to give.”
Sahih/Authentic. - [Al-Bukhari and Muslim]

Imethibiti ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Asiseme mmoja wenu: “Ee Allaah! Nisamehe ukitaka. Ee Allaah! Nihurumie ukitaka. Bali anatakiwa kuomba kwa matarajio na aadhimishe shauku. Kwani Allaah hakuna wa kumtenza nguvu.”

Ni hayo tu dada yangu. Allah akulipe kheri.
 
Asante Kwa ukumbusho
 
IMG-20230320-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom