Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Aamin. Allah akulipe kheri dada yangu Aaliyyah, ila hapo kwenye Inshallah, toa weka Aamin. Sababu;

Hadith: None of you should say: O Allah, forgive me if You will; O Allah, be Merciful to me if You will; but he should appeal to Allah with determination, for nobody can force Allah to do something against His will....
Nasaha za maana allah akulipe kila la kheri, mimi nisaidie tu kwa Aaliyyah nikufanye mshenga akhy 👐.
 
JE NI LAZIMA NIA RAMADHANI KILA SIKU AU INATOSHA KUTIA NIA SIKU MOJA TU MWANZO WA RAMADHANI [emoji780]

هل تجب النيّة لكل ليلة في رمضان أم تكفي نيّة واحدة؟ - الشيخ صالح الفوزان

[emoji441]Muulizaji anauliza: je nia ya funga ya ramadhani inafungamana kila siku katika masiku ya ramadhani au inatosha nia moja kwa usiku wa kwanza katika mwezi wa ramadhani?

[emoji2424]Jawabu kutoka kwa Al-allaamah swaaleh Al-fawzan (Allah amhifadhi)

Ndio ni lazima nia ipatikane kila siku kwani hakika ya funga ya kila siku ni ibada yenye kujitegemea, mtume (swallah llahu alayhi wasallam) amesema: hakika ya mtendo ni kwa nia na kwa hakika kila mtu kwa kile alicho kinuia. na anasema mtume (swallah llahu alayhi wasallam): hakuna funga kwa yule ambae hakulala na nia, hukmu hii ni kwa siku zote, sawa sawa ilikua funga ya faradhi au funga ya sunna,

Basi atanuia kila siku nia yenye kujitegemea, pindi akismama mwisho wa usiku na akala daku basi hii ni dalili ya nia, na wala haifai kusema nimenuia kufunga, nia maana yake hakika ya binaadam anaamka anakula na anakunywa kwaajili ya kufunga hii ndio nia, naam."

[emoji442]Skiliza kwa faida clip ina dkk 1 na sekunde 12 tu, ingia katika ya YouTube kuskiliza hii kisha subscribe channel yetu ili kupata faida mpya za shekh fawzan kila zikitoka.

••┈•✿•┈•••••°••○••°••••┈•✿•┈••

[emoji3578] Abou huda'a Al-jaziiriyyi حفظه الله

[emoji2424]Jiunge na group moja tu la WhatsApp ili kuacha nafasi kwa wengine

FAWA'AID SHEKH FAUZAN
 
Madem nao bye-bye

Ni wakati mwingine wa kuelekea toba. Ya dunia yanatuchanganya lakini Allah atatusaidia tuyashinde.

Ninaona madem wa bar wakizidi kunawiri na bia zenyewe utamu ujizidi.

Ada sidaiwi usiniulize maswali
Huna akili 😀😀
 
Niwatakieni Ramadhani njema ..Tufanye ibada kwa sana sio kuacha kujizuia na kula tu
1679255017112.jpg
 
Back
Top Bottom