Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

IMG-20250302-WA0009.jpg
 
Ndugu zangu waislam....
-Kufanya israfu katika vyakula na vinywaji wakati wa kufutari tukumbuke kwamba kuna wenzetu wengi nao wanahitajia Vyakula hivyo na Viywaji hivyo hakuna haja ya Israfu na kufanya Fujo katika Chakula (Mwezi huu ).

-Kuacha kuswali Swala ya Tarawekhe ambayo ni Sunna inayopatikana Mwezi wa Ramadhani tu (Mwezi huu ).

Ndugu zangu wapendwa haya ni katika Mambo ambayo Mfungaji anatakiwa ajiepushe nayo zaidi katika Kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani na Muda wake wote wa Maisha yetu .

Tumuombe M/Mungu kwa Ujumla azipokee Ibada zetu na azikubali Funga zetu Amiin....🙏
 
Ndugu zangu waislam....
-Kufanya israfu katika vyakula na vinywaji wakati wa kufutari tukumbuke kwamba kuna wenzetu wengi nao wanahitajia Vyakula hivyo na Viywaji hivyo hakuna haja ya Israfu na kufanya Fujo katika Chakula (Mwezi huu ).

-Kuacha kuswali Swala ya Tarawekhe ambayo ni Sunna inayopatikana Mwezi wa Ramadhani tu (Mwezi huu ).

Ndugu zangu wapendwa haya ni katika Mambo ambayo Mfungaji anatakiwa ajiepushe nayo zaidi katika Kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani na Muda wake wote wa Maisha yetu .

Tumuombe M/Mungu kwa Ujumla azipokee Ibada zetu na azikubali Funga zetu Amiin....🙏
Aaaamin
 
Ndugu zangu Waislam, Funga bila ya Swala haisihi. Tuswali na tuzichunge Swala 5 na kwa wale walioanza kuswali Ramadhaan hii basi wasiache kuswali, namuomba Allah atufanyie wepesi katika hili. Aamiin.
 
IJUE SWAUM YAKO 3⃣6⃣
📚 سؤال وجواب في أحكام الصيام.

📜HAWAJAWAHI KULIPA NA AMESAHAU SIKU ALIZOACHA KUFUNGA KUTOKANA NA MZUNGUKO WAKE WA HEDHI, JE AFANYE NINI.?

Swali:
Tangu nimewajibika kufunga Ramadhani ninafunga, lakini sijawahi kulipa masiku ambayo nimeacha kufunga kwa sababu ya mzunguko wangu wa mwezi (hedhi), na wala sijui (mpaka sasa) idadi ya siku ambazo nilifungua, tafadhali nielekeze nifanye nini hivi sasa?

Jawabu:
Kwanza ni wajibu kwa mwanamke huyu atubu kwa Allaah na aombe msamaha kwa yale aliyoyafanya, na afuatilie siku ambazo ameacha kufunga kadri awezavyo kisha azilipe, na kufanya hivi itakuwa jukumu lake limeondoka, na tunatumai kwamba Allaah atakubali toba yake (atamsamehe)

✍️ فضيلة الشيخ محمد العثيمين رحمه الله
Tarjama; Ustadh Abu Halima Arafat حفظه الله تعالى ورعاه


•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•
🌱 جزى الله خيرًا من قرأها وعمل بها وساعدنا على نشرها..
فَالدَّالُّ عَلَى الْخَيْرِ كَفَاعِلِه
 
🔰LIPI SAHIHI NIANZE KUFUTURU KISHA NISWALI AU NIANZE KUSWALI KISHA NIFUTURU❓


❪📜❫ السُّــــ☟ـــؤَال: ﻛﻴﻒ ﻳﻔﻄﺮ اﻟﻤﺴﻠﻢ؟ ﻷﻥ ﻛﺜﻴﺮا ﻣﻦ اﻟﻨﺎﺱ ﻣﺸﻐﻮﻝ ﺑﺎﻷﻛﻞ ﺣﺘﻰ ﻳﻨﻘﻀﻲ ﻭﻗﺖ ﺻﻼﺓ اﻟﻤﻐﺮﺏ،


📝Swali: vipi atafuturu muislam? Kwani hakika ya wengi katika watu wameshughulika na kula mpaka unawapita wakati wa swala ya maghribi


ﻭﺇﺫا ﺳﺄﻟﺘﻬﻢ ﻳﻘﻮﻟﻮﻥ ﻟﻚ: ﻻ ﺻﻼﺓ ﺑﺤﻀﻮﺭ اﻟﻄﻌﺎﻡ، ﻭﻫﻞ ﻳﺠﻮﺯ اﻻﺳﺘﺪﻻﻝ ﺑﻬﺬا اﻟﻘﻮﻝ؛ ﻷﻥ ﻭﻗﺖ اﻟﻤﻐﺮﺏ ﺿﻴﻖ؟


Na pindi ukiwauliza wanakuambia: hakuna swala wakati chakula kimehudhuria, je inafaa kutolea dalili kauli hii kwani hakika ya wakati wa maghribi umebana?


ﻭاﻵﻥ ﻣﺎﺫا ﺃﻓﻌﻞ، ﻫﻞ ﺃﻓﻄﺮ ﺑﺎﻟﺘﻤﺮ ﺛﻢ ﺃﺩاء اﻟﺼﻼﺓ ﻭﺑﻌﺪ ﺫﻟﻚ ﺃﻛﻤﻞ اﻟﻄﻌﺎﻡ، ﺃﻭ ﺃﻛﻤﻞ اﻟﻄﻌﺎﻡ ﻛﻠﻪ ﺛﻢ ﺃﺻﻠﻲ اﻟﺼﻼﺓ؟


Na sasa hivi nini nifanye, je nifuturu kwa tende kisha niswali na baada ya swala nile chakula au nile chakula chote kisha niswali?


❪📜❫ الجَـــ☟ـــوَاب : اﻟﺴﻨﺔ ﺃﻥ ﻳﺒﺎﺩﺭ اﻟﺼﺎﺋﻢ ﺇﻟﻰ اﻹﻓﻄﺎﺭ ﺇﺫا ﺗﺤﻘﻖ ﻣﻦ ﻏﺮﻭﺏ اﻟﺸﻤﺲ؛


☑️Sunna ni kufanya haraka kufuturu kwa mfungaji pindi akiwa na uhakika kuzama kwa jua


ﻟﺤﺪﻳﺚ: «ﻻ ﻳﺰاﻝ اﻟﻨﺎﺱ ﺑﺨﻴﺮ ﻣﺎ ﻋﺠﻠﻮا اﻟﻔﻄﺮ » ، ﻭﻟﺤﺪﻳﺚ: «ﺃﺣﺐ ﻋﺒﺎﺩ اﻟﻠﻪ ﺇﻟﻰ اﻟﻠﻪ ﺃﻋﺠﻠﻬﻢ ﻓﻄﺮا »


Kwa hadith ya mtume (swallah llahu alayhi wasallam) hawakuacha watu kuwa katika kheri mda ambao wamefanya haraka kufuturu. Na hadith nyengine: waja wanao pendeza zaidi kwa Allah wenye kufanya haraka kufuturu.


ﻭاﻷﻛﻤﻞ ﻓﻲ ﺣﻖ اﻟﺼﺎﺋﻢ ﺃﻥ ﻳﻔﻄﺮ ﻋﻠﻰ ﺗﻤﺮاﺕ، ﺛﻢ ﻳﺆﺧﺮ ﺗﻨﺎﻭﻝ اﻟﻄﻌﺎﻡ ﺇﻟﻰ ﺑﻌﺪ ﺻﻼﺓ اﻟﻤﻐﺮﺏ؛


Na kula ni haki ya mfungaji afuturu na tende, kisha acheleweshe kula chakula mpaka baada ya swala ya maghribi


ﺣﺘﻰ ﻳﺠﻤﻊ ﺑﻴﻦ ﺳﻨﺔ ﺗﻌﺠﻴﻞ اﻟﻔﻄﺮ ﻭﺻﻼﺓ اﻟﻤﻐﺮﺏ ﻓﻲ ﺃﻭﻝ ﻭﻗﺘﻬﺎ ﻓﻲ اﻟﺠﻤﺎﻋﺔ؛ اﻗﺘﺪاء ﺑﺎﻟﻨﺒﻲ ﺻﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ،


Mpaka pakusanyike baina ya sunna mbili kufanya haraka kufuturu na kuswali swala ya maghribi katika mwanzo wa wakati wake pamoja na kundi la watu, kwa kumfata mtume (swallah llahu alayhi wasallam)."


Fatwa ya lajnah ya kudumu


❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة, اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ (18372❫.


══════ ❁✿❁ ══════

📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖
 
Back
Top Bottom