Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #2,521
Muda wa daku unakaribia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga imewajibishwa kwa binadamu wote Sawa lkn ambao wale wameamini Allah ni mmoja tuFunga imewajibishwa kwa wanadamu wote,
NB : Kuna watu hawastahili kujibiwa na wa kuwapuuza tu kuepusha Shari na mengineyo yasiyo na msingi.
NaaaamFunga imewajibishwa kwa binadamu wote Sawa lkn ambao wale wameamini Allah ni mmoja tu
Inshallah kwako pia.Ramadhani njema ndugu zetu
AaaaminNdugu zangu waislam....
-Kufanya israfu katika vyakula na vinywaji wakati wa kufutari tukumbuke kwamba kuna wenzetu wengi nao wanahitajia Vyakula hivyo na Viywaji hivyo hakuna haja ya Israfu na kufanya Fujo katika Chakula (Mwezi huu ).
-Kuacha kuswali Swala ya Tarawekhe ambayo ni Sunna inayopatikana Mwezi wa Ramadhani tu (Mwezi huu ).
Ndugu zangu wapendwa haya ni katika Mambo ambayo Mfungaji anatakiwa ajiepushe nayo zaidi katika Kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani na Muda wake wote wa Maisha yetu .
Tumuombe M/Mungu kwa Ujumla azipokee Ibada zetu na azikubali Funga zetu Amiin....🙏