welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Vijana wa uvccm akili zenu mnazijuaga wenyewe,, hivi zile hela mnazogawanaga halmashauri zimerudishwa naminikajaribu kukopa mana nina kadi ya mchongo hapa ya toka mwaka 2004naipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Hopeless black skinnaipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Unazingua ujue πππnaipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Haya ndio matatizo ya kuvizia watu wakishafanikiwa. Mngekuwa mmewaibua mngewapanga mapema
Una wazimu wewe. 600m ni hela ndogo kwa mtu wa kawaida?Hongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Ha ha haaaa ...Hawa jamaa ni watz au watu wenye asili ya tanzania? Watz gani wapo serious hivi na kazi?
Na watazifakamia wachoke wao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kongore Kwao.
Sasa Waje Wapambane Na U.T.I Sugu Za Bongo Movie
Mil 300 kila m1 ni ndogo? Mbona wamesha tusua life.Hongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akati manyaku nyaku wana wasubiri hapo Kipawa.Hapo wakae mbali na Manyaku nyaku wasije kufanywa kama Idris Sultan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waje wapigwe na wadada wa mujini...kama Idriss Sultani Ile milion 600 zake...