Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

naipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Vijana wa uvccm akili zenu mnazijuaga wenyewe,, hivi zile hela mnazogawanaga halmashauri zimerudishwa naminikajaribu kukopa mana nina kadi ya mchongo hapa ya toka mwaka 2004
 
Mbona wanashindania pesa kidogo sana wakuu
Milion 680 unafanyia nn
 
Hongera zao, waendelee kujituma

Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Mil 300 kila m1 ni ndogo? Mbona wamesha tusua life.
 
Back
Top Bottom