Uchaguzi 2020 Ramadhani Ighondo, mgombea Ubunge Singida Kaskazini: Nitakuwa mkali kweli kwenye mambo ya maendeleo ya Jimbo letu

Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.

Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.

View attachment 1583945
Kituko kingine cha mwaka.😅😅😅
 
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.

Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.

View attachment 1583945
Hao jamaa wawili wenye mabuti Ni igo mmoja nilikuwa nae Harare zimbawe mwaka juzi tulipanda ndege moja
 
IGHONDO NASIKIA HATA KWAO MRAMA NA ILONGERO HAWAMTAKI SINGIDA WALIMTAKA MUHINDI CCM IKAWAPELEKEA IGHONDO HATOBOI ANAFANYA VIKAO VYA USIKU TU

NA HAPO SINGIDA KASKAZINI NASIKIA ANAVIKUNDI KWENYE KATA MBALI MBALI KAISHAVIUNDA MPUUZI YULE ILI VIWE VINAGONGA WATU NYUNDO

KUNA NDUGU YANGU YUPO HUKO ANANIAMBIA IGHONDO ATABEBWA NA AFISA UCHAGUZI ANOLD MBOGOWE AMBAYE NI KADA WA CCM MPAKA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NDUGU RASHID MANDOA YULE ALOKUA KWENYE LIST YA ZITTO KWENYE KESI YA NEC

SASA NYALANDU JIPANGE KOKOTE UNAKONISIKIA WANAKUOGOPA SANA HAPO SINGIDA KASKAZINI ONDOKA NA KATA ZOTE UKAUNDE NA HALMASHAURI
Kumbe taarifa zote ni unasikia tuu huna uhakika.
 
Gulamali alihonga Sana lakilaki kwa kila katibu kata hakushinda kwa halali ikabidi halmshauri kuu impe jamaa
 
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.

Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.

View attachment 1583945
NASIKIA DR STEPHEN ULIMBOKA NDO CAMPAIGN MANAGER WAKE. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vempire katika ubora wake 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom