Kituko kingine cha mwaka.😅😅😅Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.
Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.
Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
View attachment 1583945