Kituko kingine cha mwaka.π π πMsikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.
Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.
Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
View attachment 1583945
Hao jamaa wawili wenye mabuti Ni igo mmoja nilikuwa nae Harare zimbawe mwaka juzi tulipanda ndege mojaMsikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.
Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.
Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
View attachment 1583945
Analindwa na usalama wenzake huyo hajiamini kwa dhambi zake damu za watu halafu anajifanya muislamuHao jamaa wawili wenye mabuti Ni igo mmoja nilikuwa nae Harare zimbawe mwaka juzi tulipanda ndege moja
Huyu muuaji imekuwaje kaibukia huko?
Kumbe taarifa zote ni unasikia tuu huna uhakika.IGHONDO NASIKIA HATA KWAO MRAMA NA ILONGERO HAWAMTAKI SINGIDA WALIMTAKA MUHINDI CCM IKAWAPELEKEA IGHONDO HATOBOI ANAFANYA VIKAO VYA USIKU TU
NA HAPO SINGIDA KASKAZINI NASIKIA ANAVIKUNDI KWENYE KATA MBALI MBALI KAISHAVIUNDA MPUUZI YULE ILI VIWE VINAGONGA WATU NYUNDO
KUNA NDUGU YANGU YUPO HUKO ANANIAMBIA IGHONDO ATABEBWA NA AFISA UCHAGUZI ANOLD MBOGOWE AMBAYE NI KADA WA CCM MPAKA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NDUGU RASHID MANDOA YULE ALOKUA KWENYE LIST YA ZITTO KWENYE KESI YA NEC
SASA NYALANDU JIPANGE KOKOTE UNAKONISIKIA WANAKUOGOPA SANA HAPO SINGIDA KASKAZINI ONDOKA NA KATA ZOTE UKAUNDE NA HALMASHAURI
Gulamali alihonga Sana lakilaki kwa kila katibu kata hakushinda kwa halali ikabidi halmshauri kuu impe jamaaIGHONDO NASIKIA HATA KWAO MRAMA NA ILONGERO HAWAMTAKI SINGIDA WALIMTAKA MUHINDI CCM IKAWAPELEKEA IGHONDO HATOBOI ANAFANYA VIKAO VYA USIKU TU
NA HAPO SINGIDA KASKAZINI NASIKIA ANAVIKUNDI KWENYE KATA MBALI MBALI KAISHAVIUNDA MPUUZI YULE ILI VIWE VINAGONGA WATU NYUNDO
KUNA NDUGU YANGU YUPO HUKO ANANIAMBIA IGHONDO ATABEBWA NA AFISA UCHAGUZI ANOLD MBOGOWE AMBAYE NI KADA WA CCM MPAKA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NDUGU RASHID MANDOA YULE ALOKUA KWENYE LIST YA ZITTO KWENYE KESI YA NEC
SASA NYALANDU JIPANGE KOKOTE UNAKONISIKIA WANAKUOGOPA SANA HAPO SINGIDA KASKAZINI ONDOKA NA KATA ZOTE UKAUNDE NA HALMASHAURI
NASIKIA DR STEPHEN ULIMBOKA NDO CAMPAIGN MANAGER WAKE. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.