Ramadhani ile haipo

Ramadhani ile haipo

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:

1712595345209.png

1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
 
Picha kama inaweza kupatikana kwenye zile ifta zinazoandaliwa na taasisi mbalimbali wanapotaka kuongea jambo na wadau wao.

Kuna ifta za ikulu, wizara, benk, kule biharamlo tumeona polisi wakiandaa ifta, jumuiya fulani nazo zinaandaa ifta na kupatikana picha kama hii.
 
Mzee wangu huko Saudia ulikotokea uislam juzi tu wamecheza Mechi ya Mpira wa miguu akina Cristiano Ronaldo wamempiga mtu goli 7 tena wakati wa mfungo huu huu.
Sasa unataka wewe uliyeletewa dini huku kwenye nchi isiyokuwa na serikali ya kidini watu wasicheze Mpira hivi ni haki hiyo?
Angalia matokeo Mechi za Jana za Saudia Pro League
 
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:


1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Tukubali tukatae.... some how Pole pole ule Uislam wa 700 AD unaenda na maji na ata huko ulipoanzia wameanza hilo.... Wanakuwa so Morden na kuacha na ya kale na ambayo ayatarudi tena milele.
The Abraj Kudai Hotel- imejengwa sehem ambayo ina so big history ya Uislam na Wasaud wenyewe ambao ndo Custodian wa Uislam.
The Ajyad Fortress (Ottoman Turkish: قلعهٔ اجیاد, Turkish: Ecyad Kalesi; Arabic: قلعة أجياد) was an Ottoman citadel which stood on a hill overlooking the Grand Mosque of Mecca, in what is now Saudi Arabia. Built in the late 18th century, it was demolished by the Saudi governmentin 2002 for commercial development of the Abraj Al Bait, sparking outcry from Turkey and other concerned Muslims of the world.
Leo pamejemgwa HOTEL NDEFU YENYE VYUMBA ZAIDI YA 10,000. Watu wapige hela ambazo wataziacha hapa Duniani

The Clock Towers (Arabic: أبراج الساعة, romanized: Abrāj al-Sāʿa, lit. 'Towers of the Clock', formerly known as Abraj Al Bait), is a government-owned complex of seven skyscraper hotels in Mecca, Saudi Arabia. These towers are a part of the King Abdulaziz Endowment Projectthat aims to modernize the city in catering to its pilgrims. The central hotel tower, which is the Makkah Clock Royal Tower, is the fourth-tallest building and sixth-tallest freestanding structure in the world.[5]The clock tower contains the Clock Tower Museum that occupies the top four floors of the tower.[6]

The Clock Towers
أبراج الساعة
Map
 

Attachments

  • IMG_6877.jpeg
    IMG_6877.jpeg
    237.7 KB · Views: 8
Naenda Saudia utaikuta nchi hii sio ya kidini
 
siyo ramadhani tu hata Christianity pia imeondolewa, Pasaka sikukuu muhimu kuliko zote kwenye Ukristo ndiyo siku wakaleta siasa za akina makonda wanahamishiwa sijui ukuu wa mkoa teuzi zinafanyika tena weekend walishindwa nini kusubiri after Easter? tena na umeme wakakata haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu, hivyo ni satanism tu ndiyo mwelekeo wa kidunia sasa hivi …
 
Back
Top Bottom