Ramadhani Kabwili apata timu Rwanda

Kuna mchezaji adelayde Austria ni shoga

Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga
Wale siyo mashoga kwamba wanapelekewa moto sehemu ya haja kubwa, Ulaya watu waliokatika mahusiano ya jinsia moja wote wanaitwa mashoga.
 
Huyu dogo sio shoga ni watu waliamua kumchafua tu
 
Utopolo branch inabidi wampime marinda kwanza kama yapo.
 
"Kabwili ni mwananchi na daima atadumu kuwa ni mwananchi"

~Jemedari Said bin Kazumari
 
Aache sasa ule mchezo wa kisodoma

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Afadhari nayeye kapata team, ili kipaji chake kiendelee.
JAH awe nae zaidi. Akapambane sasa. Na akafiche mapungufu na madhaifu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…