- Thread starter
- #61
Mpira sio vita ndugu yangu
Usiandike kitu ambacho si cha kweli kwa lengo la kufurahisha nafsi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira sio vita ndugu yangu
Acha ufala weweYeye mwenyewe alikiri na akataja waliomuingiza kwenye huo ushetani
Kitu gani yakhe?Ile kitu kaacha?
Mbona makasiriko?Mpira sio vita ndugu yangu
Usiandike kitu ambacho si cha kweli kwa lengo la kufurahisha nafsi yako.
Kabwili una hasira sana, huo ndiyo tunaita ukali wa sindano nyuma uzi unaingia tartiiib.Acha ufala wewe
Yanafichika, km muhusika akiamua.Kwani mapungufu Yale huwa yanafichikaga..!?
Get well soon, japo kichaa hakiponi harakaMbona mkali sana kwani wewe umeelewa nini ?
Wewe ni taahira kabisaGet well soon, japo kichaa hakiponi haraka
Aisee kuna jamaa ni beki pande za Kibaha huko huwa siamini kinachozungumzwa aiseeKuna mchezaji adelayde Austria ni shoga
Na kuna jamaa kigamboni anacheza beki kazi kazi balaa ila ni shoga
DuhAisee kuna jamaa ni beki pande za Kibaha huko huwa siamini kinachozungumzwa aisee
Fungua hii codeAisee kuna jamaa ni beki pande za Kibaha huko huwa siamini kinachozungumzwa aisee
Wewe jamaa utakuwa unaishi kiluvya🤣🤣🤣🤣 code ngumu hiiiFungua hii code
Sol Campbell na yeye alikuwa chokoSana tu,machoko wanapiga Mbungi kama kawa tu,Watu hawakumbi iaaue ya Sol Campbell kwani?