Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea?
Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa affiliated na upande wowote wa kisiasa, Tena ikilazimu hata taratibu za malipo yake yasitoke katika mfuko sawa na watumishi wwngine wa umma. Ili kupata uchaguzi wa haki, mtu huyu anapaswa kuondoka mara moja.