Ramadhani Kailima anatoa matamko kama nani? Kuna stakeholder yeyote aliyeshiriki kumuweka kusimamia uchaguzi tofauti na mgombea wa CCM?

We mwehu ni wa kupuuzwa. Watendaji wakuu wote ni wa kuteuliwa na Rais. Rais ndio mkuu wa nchi hizo nafasi za juu lazima Rais ateue. Rais wa nchi siyo km shangazi yako unavyotaka kumchukulia. Nyie nyumbu mna mambo ya kitoto sn na kwa ujinga huo hamtakaa asilani kuunusa utawala wa nchi hii
Wenye akili wakibishana wewe nenda kakae jikoni huko,, huna ujualo zaidi ya kuhara tu mtandaoni,takataka
 
View attachment 3305675
Huyu mtu hana mandate yeyote kutoa matamko kukemea jambo lolote, Kwa sababu uwepo wake katika kusimamia uchaguzi si halali. Mtu aliyeteuliwa na Mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa CCM atawezaje kukemea CCM pale inapokosea?

Hiyo nafasi ilitakiwa apatikane mtu ambaye atakuwa neutral asiyekuwa affiliated na upande wowote wa kisiasa, Tena ikilazimu hata taratibu za malipo yake yasitoke katika mfuko sawa na watumishi wwngine wa umma. Ili kupata uchaguzi wa haki, mtu huyu anapaswa kuondoka mara moja.
Simple logic.
 
CDM si mmeshasusia uchaguzi? tulieni Kailima anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu sasa kama unapinga hoja zake pinga kupitia sheria kama alivyofanya yeye
 
Sasa nyinyi s hamshiriki uchaguzi .. mbona hamueleweki mnavua chupi mnavaa,mnatoka mnarudi
 
Hii tume ya Uchaguzi ilikua Toka Enzi ya Chama kimoja, hii Tume iliwafaa CCM kipindi hicho wako wenyewe, kusimamia Wabunge wa CCM kwenye Uchanguzi, Madiwani wa CCM.... Ila haifai kwenye Demokrasia ya Vyama vingi, inabidi Tume ivunjwe iundwe Upya.
 
No
Uchaguzi mkuu ni October,
tutaona kama kutakua na picha ya vibaka au matapeli wa kisiasa kwenye ballot paper kisha tutafahamu kwa pamoja mandate ya huyo muungwana 🐒
No Reforms no Election mkuu
October itabaki kiangazi bila Reforms hamna uchaguzi labda mkutano wa vibaka ccm
 
CDM si mmeshasusia uchaguzi? tulieni Kailima anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu sasa kama unapinga hoja zake pinga kupitia sheria kama alivyofanya yeye
Hiyo sheria batili ndiyo tunataka iondolewe mara moja!
 
Gentleman,
hiyo nonsense ni ya Chadema gentleman haihusu waTanzania 🐒
Hamna mabadiliko hamna uchaguzi labda mfanye kikao cha ccm 😄 🤣 😂 na jumuiya za kimataifa haitatumbua huo uchaguzi wa ki Nicolas Maduro wa Venezuela
 
jumuiya za kimataifa ambazo nazo zina matatizo yao zina ihusu nini Tanzania gentleman? wahangaike na matatizo yao ya kisiasa na kiuchumi huko, Tz ikwa shwari na imara sana kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu,

halafu gentleman kama hizo jumuiya zinawanawasaidia,
basi wasiwalazimishe kua mafirauni kama wao ndipo wawapatie misaada :NoGodNo:
 
Mkuu hao watalii wanaoleta dolari wanatoka
Kakonko au kwenye jumuiya za kimataifa?
 
Back
Top Bottom