Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Mechi ya Yanga dhidi ya Mbeya City nilishangazwa kuona matendo ya Kayoko yakipingana na akili yake na hata Ile ya mshika kibendera wake wakati wa kulikataa goli zuri la Kisinda. Huwezi kufanya kama vile Bure Bure kabisa,
 
Kwa angle ambayo alikuwepo Kayoko ilionekana Mayele kamalilizia kwa kisigino,

Cheki highlights azam huko youtube
 
Kwa angle ambayo alikuwepo kayoko ilionekana Mayele kamalolizia kwa kisigino,

Cheki highlights azam huko youtube
Kayoko alionesha kuwa ni offside na mkono wake akamnyooshea Mayele kwamba ameingilia mchezo, yaani linesman amekubal ni goli ila refa kajipa mamlaka ya kung'amua offside.
 
Kayoko alionesha kuwa ni offside na mkono wake akamnyooshea Mayele kwamba ameingilia mchezo, yaani linesman amekubal ni goli ila refa kajipa mamlaka ya kung'amua offside.
Mbaya zaidi hata kayoko alishakubali kuwa ni goli na alielekeza mpira uende kati ya dimba, ghafla alibadilishwa mawazo na kipa wa mbeya city. Ama kweli rushwa na heshima havikai mtaa mmoja,
 
Ile kwenye draft tunaita kufananisha ngoma yeye alidhani ile ipo sawa na goli la Simba kule Mbeya Bocco alie offside aliingilia mpira kwa kuruka kumbe ni vitu viwili tofauti..hakuna faulo pale wale lile ni goli maana kibendera alikua anatembea na movie na alikua kwenye mstari mmoja na mayele na beki wa city akakubali goli ila mzee kayoko muda wote anasema kaona kwa macho yake sijui pale aliona nini?
 
Ile kwenye draft tunaita kufananisha ngoma yeye alidhani ile ipo sawa na goli la Simba mbeya kumbe ni vitu viwili tofauti..hakuna faulo pale wale lile ni goli maana kibendera alikua anatembea na movie na alikua kwenye mstari mmoja na mayele na beki wa city akakubali goli ila mzee kayoko muda wote anasema kaona kwa macho yake sijui pale aliona nini?
Ni kijana mdogo mwenye kesho nyingi sana, vitendo kama hivi vinazichafua kesho zake. Kazi ya kuona offsides kiwanjani sio kazi yake, Hata hivyo Kuna mwendelezo fulani wa marefa wanaochezesha mechi za Yanga kufanya maamuzi kwa ushauri wa wachezaji wa timu pinzani yanayoinufaisha timu pinzani. Hii haiwezi kuwa burebure kabisa.
 
Katoa maamuzi kama penati ya Ureno kwa Ghana refa hajajishughulisha kabisa kuwasiliana na kibendera wake ambae alikua anaenda kati mpira uanzishwe kule WC refa hakutaka ksbisa kwenda kwenye VAR kwa ile Tuta nyepesi mtu kapambana anakuja kunyimwa goli kwa uzembe wa maamuzi..
 
Katoa maamuzi kama penati ya Ureno kwa Ghana refa hajajishughulisha kabisa kuwasiliana na kibendera wake ambae slikua anaenda kati mpira uanzishwe kule WC refa hakutaka ksbisa kwenda kwenye VAR kwa ile Tuta nyepesi mtu kapambana anakuja kunyimwa goli kwa uzembe wa maamuzi..
Yule refa ni chizi, pia kuna goli lilifungwa linaonekana kama offside ila dk zote 90 hakuangaika na VAR.
 
Yule refa ni chizi, pia kuna goli lilifungwa linainekana kama offside ila dk zote 90 hakuangaika na VAR.
Hizi ni baadhi ya dalili kuwa "mpunga" kama ulikuwepo hakuwapa wenzake, kafukia mwenyewe. Hivyo alitaka kuyamaliza yeye mwenyewe.
 
Unauliza halafu unajijibu. Ndio sio bure bure, ni kama ile penati mliyopata dhidi ya Geita gold haikuwa bure bure.
 
Unauliza halafu unajijibu. Ndio sio bure bure, ni kama ile penati mliyopata dhidi ya Geita gold haikuwa bure bure.
Sawa, Ile penati inawezekana ni Hersi ilitoa mpunga Yanga ishinde, je hii ya Kayoko ni nani amegharamia Yanga ishindwe?
 
Sawa, Ile penati inawezekana ni Hersi ilitoa mpunga Yanga ishinde, je hii ya Kayoko ni nani amegharamia Yanga ishindwe?
Hujiulizi kwa nini hakukataa goli la kwanza la Mayele? Yaani hapo mlimpanga akatae goli mojawapo ili kuhalalisha kubebwa kwenu kwenye mechi zilizopita.
 
Back
Top Bottom