Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

Ramadhani Kayoko amelikataa goli la Kisinda kwa bahati mbaya TU?

Katoa maamuzi kama penati ya Ureno kwa Ghana refa hajajishughulisha kabisa kuwasiliana na kibendera wake ambae slikua anaenda kati mpira uanzishwe kule WC refa hakutaka ksbisa kwenda kwenye VAR kwa ile Tuta nyepesi mtu kapambana anakuja kunyimwa goli kwa uzembe wa maamuzi..
Bora hata ishu ya penati, refa wa kati anaweza kuwa na mamlaka nayo lakini sio ishu ya offside. Lines man ndio wanaoweza kutafsiri offside au sio offside
 
Bora hata ishu ya penati, refa wa kati anaweza kuwa na mamlaka nayo lakini sio ishu ya offside. Lines man ndio wanaoweza kutafsiri offside au sio offside
Hawa vijana hawana malengo makubwa sawa na akina Ngasa na Ajiibu kugoma kwenda kucheza soka nje ya nchi. Kayoko kayoko kayoko kila mtu anakuita kwa ubaya, na umri huo hainogi.
 
Back
Top Bottom