Ramadhani Lenny aliwezaje kucheza mpira ligi kuu akiwa na miaka 50 na yale matege?

2008 hapo juzi juzi? Wewe bado mdogo sana kwenye mambo ya michezo. Acha kubisha hovyo.
Ungezingatia kila neno kwenye post yangu,niliandika 'ulaya kujali umri' na si kufuatilia mpira wa ulaya,euro 1996 niliitazama live,euro 1992 niliifuatilia kupitia magazeti ya mzalendo na motomoto
 
Kuna sehemu Nimeongelea kufuatilia mpira wa Ulaya?
 
Back
Top Bottom