TANZIA Ramadhani Wasso afariki dunia

Na yule Christopher Alex hakuwa beki?
Christopher Alex Massawe 🙌

Simba ilikuwa na watu sana, tena wengi walikuwa Wazawa

Kuhusu swali lako, Sina kumbukumbu sahihi Mkuu
 
R.I.E.P..naona umemfuata rafiki yako Patrick Mutesa Mafisango ...Mungu awapumzishe kwa Amani.
I will miss you
 
Pumzika kwa amani champion
 
Kafa na miaka 39,mwaka 2000 alikuwa simba,imepita miaka 24,je slisinya simba akiwaba miaka 15???
 
Alijiunga na Simba akiwa na miaka 15 ????

Maana amefariki wakati huu ana 39.
 
Christopher Alex Massawe 🙌

Simba ilikuwa na watu sana, tena wengi walikuwa Wazawa

Kuhusu swali lako, Sina kumbukumbu sahihi Mkuu
Huyu ndiye aliyepiga penati ya mwisho iliyowang'oa Zamalek katika michuano ya klabu Bingwa Afrika, huku wakiwa wanashikilia mataji mawili, la Klabu Bingwa Afrika kama mtetezi na la Ligi ya Misri ambalo walikuwa wametoka kulitwaa siku chache na sherehe ya kulitwaa huko ilipangwa kufanyika baada ya mechi ya Simba, lakini ikavurugika na kukatokea vurugu kubwa mitaani na klabuni kwao
 
Rip Wasso
 
Ilikuwa Burudani sana Kwa kweli...

Wakati huo unakuta mtangazaji wa redio anatangaza Kwa umakini na mbwembwe utasema unaona live mechi ikichezwa kumbe unasikiliza redioni.

Anapiga Juma K. Juma

Anaupokea Ramadhani Wasso

Wasso anapiga pasi Kwa Amri Saidi

Amri Saidi anapika mbele akimtafuta Sheikhan Rashidi

Sheikhan Rashidi anapika kwake Steven Mapunda Garincha

Steven Mapunda anapiga chenga beki mmoja pale, anampiga chenga beki wa pili pale anabaki yeye na Kipa

Anafunga pale gooooooooool🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…