darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Tusifanye mzaha kwenye misiba chiefKafara tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusifanye mzaha kwenye misiba chiefKafara tayari
Hii ni miaka ya kwenye pasportItakua alikuja Tanzania na miaka 15
Mitandao mingi inaonyesha was born in August 1984oya unauhakika ni miaka 39
Christopher Alex Massawe 🙌Na yule Christopher Alex hakuwa beki?
r.i.p nilikuwa namkubali sanaR.i.p beki kisiki,
Sema huo umri mmmhh!
Pumzika kwa amani championYule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.
Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
Kafa na miaka 39,mwaka 2000 alikuwa simba,imepita miaka 24,je slisinya simba akiwaba miaka 15???Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.
Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
Alijiunga na Simba akiwa na miaka 15 ????Yule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.
Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
R.i.p ila wanapunguza miaka mpaka aibu?Alijiunga na Simba akiwa na miaka 15 ????
Maana amefariki wakati huu ana 39.
kazaliwa 1975 alafu wanasema alikua na miaka 39, waongo sana, alaf Burundi alihamia tu ni mkongo .R.i.p beki kisiki,
Sema huo umri mmmhh!
Huyu ndiye aliyepiga penati ya mwisho iliyowang'oa Zamalek katika michuano ya klabu Bingwa Afrika, huku wakiwa wanashikilia mataji mawili, la Klabu Bingwa Afrika kama mtetezi na la Ligi ya Misri ambalo walikuwa wametoka kulitwaa siku chache na sherehe ya kulitwaa huko ilipangwa kufanyika baada ya mechi ya Simba, lakini ikavurugika na kukatokea vurugu kubwa mitaani na klabuni kwaoChristopher Alex Massawe 🙌
Simba ilikuwa na watu sana, tena wengi walikuwa Wazawa
Kuhusu swali lako, Sina kumbukumbu sahihi Mkuu
Nilitaka kushangaa piaoya unauhakika ni miaka 39
Rip WassoYule beki kisiki wakushoto Ramadan Wasso amefariki dunia Leo nchini Burundi akiwa na miaka 39.....
Alikuwa sehemu ya kikosi Cha Simba sc kilichotinga makundi cafcl 2003.
---
Beki wa zamani aliyekipiga Simba SC na Yanga SC, Ramadhan Waso, raia wa Burundi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 25, nchini kwao.
Beki huyo aliyejiunga Simba mwaka 2000 na baadae kujiunga na Yanga, alikuwa sehemu ya kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamalek mwaka 2003 kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba SC yaomboleza kifo cha mkongwe huyo.
Ilikuwa Burudani sana Kwa kweli...Huyu ndiye aliyepiga penati ya mwisho iliyowang'oa Zamalek katika michuano ya klabu Bingwa Afrika, huku wakiwa wanashikilia mataji mawili, la Klabu Bingwa Afrika kama mtetezi na la Ligi ya Misri ambalo walikuwa wametoka kulitwaa siku chache na sherehe ya kulitwaa huko ilipangwa kufanyika baada ya mechi ya Simba, lakini ikavurugika na kukatokea vurugu kubwa mitaani na klabuni kwao