Kwa nini ramani zenu hamuweki ventilator jikoni.
Mfano mzuri kwenye nyumba alizo tuachia mkoloni , wazungu walielimika , walielewa mfumo wa hewa ndani ya nyumba.
Nyumba zetu za sasa wenyewe wanaziita mgogo wa tembo, ukipika jikoni harufu yote ya chakula inahishia sebuleni + na mvuke wa joto la chakula