Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #221
Hii imekaa vzrHarufu ya mmea wa mchai chai hufukuza wanyama na wadudu hatarishi kama vile Nyoka, Kenge n.k. Ukiweza tafuta miche yake upande kuzunguka eneo lako, hao wanyama hawatosogea kabisa
Tuko pamoja ndg, karibuAsante sana kwa elimu
Kwa hiyo slope inatakiwa minimum angle degrees ngapi?Slope ya paa ni moja ya factors zinazopelekea bati kuoza haraka, slope ya paa inapokuwa ndogo kupitiliza itafanya bati lichukue muda mrefu kukauka pindi mvua inaponyesha
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Angalau 30° mpaka 45° kutegemeana na span ya jengoKwa hiyo slope inatakiwa minimum angle degrees ngapi?
Mkuu nimejenga eneo ambalo lina magadi sana sasa baada ya kupiga plasta unyevu ma magadi unapanda sana na unapelekea rangi kubandukaWapo wanaokwepa hatua ya skimming wakidhani kwamba wanapunguza gharama, mtu amemaliza kupiga ripu (plaster) halafu anapiga rangi. Ukuta ambao haujafanyiwa skimming, ukipaka rangi juu yake rangi nyingi inafyozwa na ukuta na hautakuwa na muonekano mzuri ukilinganisha na ukuta uliofanyiwa skimming kisha ukapakwa rangi
Bila shaka hukuweka ile nailoni (DPC na DPM) kabla ya kumwaga jamvi, hili pia limechangia kuongezeka kwa hilo tatizoMkuu nimejenga eneo ambalo lina magadi sana sasa baada ya kupiga plasta unyevu ma magadi unapanda sana na unapelekea rangi kubanduka
Nifanye nini kudhibiti hili?