Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Yeah,Uzi mzuri wa ujenzi.
Mtoa mada yuko vizuri sana na anaeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,Uzi mzuri wa ujenzi.
Karibu ndgKwa hii elimu unayotoa kama hujapata mteja humu mkuu kuna kono la mtu. Nachukua namba yako
Ukisikia hewa unajua Oxygen, amemaanisha hewa inaweza kuwa C02,Bacteria wanaochakata uchafu hawahitaji oxygen ili kuishi au bacteria wa kwako ni special?
HahahahahaWasomi wa kileo utawajua tu.
Maisha yana machaguo mengi, usilazimishe chaguo lako liwe chaguo kwa watu wengine...mimi sijamlazimisha mtu anunue ramani, akiona kuna umuhimu wa kufanya hivyo atakuja na akiona hakuna umuhimu pia ni sawa. Sasa sijui concern yako hasa ni nini, maana hapa nimebase sana kwenye kutoa elimu kuliko kufanya hiyo biashara ya ramani lakini bado mnanipiga vita...wahenga walisemaga penye riziki hapakosi fitina, kamwe huwezi zuia riziki ya mtu kwa kuwa atoae riziki ni Mungu na sio huyo anayelipia ramaniMbona kuna mafundi wengine wanajenga bila hiyo micholo na kazi zinakuwa nzuri! Huwa mkianzaga na 3D zenu, af uharisia unakuwa tofauti,ndo nachekaga. Labda ghorofa, ila nyumba ya kuishi ya kawaida!?
unapatikana mkoa gani? Sio wote tupo DSM, wengine tupo huku Mtimbira ndani ndani kabisa na tuna ndoto ya kujenga+255(0)624068809 karibu sana mkuu