HOMEX DESIGN
Member
- Apr 1, 2020
- 7
- 6
Mbona madirisha mengi bila umuhimu wowote? Chumba kina madirisha manne ya nini?Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self na kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.
Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane kwa namba 0719086787 Whatsapp and calls
Location: Tegeta A, Goba, Dar es salaam View attachment 3040897
Yana umuhimu, kwa kuwa madirisha yake ni madogo (membamba) ndo maana yamekuwa mengi ili kupitisha mwanga na hewa ya kutosha. Na hiyo ndo design yakeMbona madirisha mengi bila umuhimu wowote? Chumba kina madirisha manne ya nini?