Ramani, Ujenzi na Ushauri

Ramani, Ujenzi na Ushauri

HOMEX DESIGN

Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
7
Reaction score
6
Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self, kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane 0719086787... Whatsapp & calls
7-24-1-2f_092709.jpg
 
Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self na kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.

Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane kwa namba 0719086787 Whatsapp and calls

Location: Tegeta A, Goba, Dar es salaam
7-24-1-2f_092709.jpg
 
Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self na kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public.

Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane kwa namba 0719086787 Whatsapp and calls

Location: Tegeta A, Goba, Dar es salaam View attachment 3040897
Mbona madirisha mengi bila umuhimu wowote? Chumba kina madirisha manne ya nini?
 
Mbona madirisha mengi bila umuhimu wowote? Chumba kina madirisha manne ya nini?
Yana umuhimu, kwa kuwa madirisha yake ni madogo (membamba) ndo maana yamekuwa mengi ili kupitisha mwanga na hewa ya kutosha. Na hiyo ndo design yake
 
7-24-2-1_013441.jpg

Vyumba vitatu (kimoja master, viwili single), sebule, dining, jiko na choo cha public.

Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi na ushauri kuhusu ujenzi tuwasiliane 0719086787, Whatsapp & calls
 
Wajenzi wapya njooni mpate ramani bora za nyumba zenu, na ujenzi wa gharama nafuu kupitia kwa mleta mada.
 
Designers wa Nyumba anzeni kuwashauri wateja hizi Nyumba za Vyumba 3 na Kimoja Master value yake huko mbeleni Siyo.Dunia imabadilika Kwa Kasi.Tuna assume kwamba familia inaendelea kuwa na watoto na Wageni walale Hicho Chumba single.Ila Wakimaliza Shule au Chuo wanaondoka na jumba linabaki tupu.Huwezi kwenda na filimbi kualika Wageni na Ndugu waje kulala.
Kwa mstakabali wa siku zijazo,ili watu wasilie machozi,Jenga Vyumba Vyote Self.Wakiondoka unaweza kubadili Chumba kuwa AirBnB.
Hili kosa Nilifanya Nyumba ya Kwanza.Nyumba zingine nimeelevuka.Kila Chumba self.
 
Back
Top Bottom