Ramani: Ukraine wamefaulu kurejesha ardhi zaidi ya nusu ya iliyokuwa imenyakuliwa na Warusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi, Putin ana lipi lakuwaambia Warusi, kwamba vifo vya wanajeshi wao havikua na umuhimu wowote maana walichokua wameiba kimrejeshwa kizembe sana tena ndani ya siku chache tu...

_126697219_kharkiv_counter_offensive_side_by_side_2x640-nc.png.webp

Justin Bronk of the Royal United Services Institute (Rusi) told the BBC that Russian positions in Kharkiv had suffered a "total collapse."
The Russian withdrawal was, he said, "certainly the most dramatic reverse that we've seen from the Russians since they retreated from Kyiv in April".
The ISW said Ukraine now controls almost all of the Kharkiv region and the advance had ended the prospect that Russia could capture the whole of Donbas in the current stage of the war.
Previously, Russian officials had said their forces were fighting for the "complete liberation" of the Donbas, which broadly refers to Ukraine's eastern regions of Donetsk and Luhansk, where Russian-backed separatists held significant territory before the invasion.
Reports suggest that Russian positions are also under attack in Lyman, to the east of Slovyansk.
 
Kama wamefanikiwa kukomboa zaidi ya nusu maana yake ni kwamba kwa sasa WARUSI watakuwa kwenye MKOA mmoja TU. maana UKRAINE wamekomboa MKOA wa KHARKIV pekee.sasa iyo nusu sijui umeipataje ebu rudi tena kapige hesabu vizuri
 
... hapana amekosoea Mkuu! Majeshi ya Russia yanasonga mbele kwa kasi ya ajabu yameshateka maeneo yote ya Ukraine isipokuwa eka moja tu imebaki magharibi mwa nchi kuiteka Ukraine yote.
 
Mnamchukulia poa Zelensky, ni myahudi yule, anaback up ya wayahudi wenzie duniani ambao wanashikilia finances za dunia, wana influence kwa congress ya Marekani na White house!.

Kama Wayahudi watamuacha Myahudi mwenzao apigwe, itatrigger antisemitism dunia nzima kwa conspiracy kuwa Myahadi akitawala nchi za "wasio wayahudi" anawauza. Sasa ili kuondoa hiyo lazima wamsaidie myahudi mwenzao kushinda vita!
 
True
 
Hili tuliongea toka vita Mrusi anataka kuvamia Ukraine kuwa Zelensnkyy myahudi

Wayahudi dunia nzima wataungana Naye dhidi ya Putin

Wayahudi hawatupani dunia nzima huwa kitu kimoja mwenzao akichokozwa

Putin na warusi wa humu hakusikia ona sasa kinachoendelea wayahudi wako kazini na hawatalala hadi Putin aachie Ukraine na Crimea na aachie ngazi iwe kwa kuuawa au kupinduliwa
 
Putin kajiongeza mapema na kuna washauri wamempa ushauri aachane na vita hii ambayo haitaisha kwasababu Nia ya western countries ni kurefusha vita ili Russia afilisike kiuchumi.
Nampongeza Putin Kwa kuanza kuondoa majeshi yake nyuma tunajua plan yake ya kuiteka Ukraine Kwa njia ya invasion imeshindikana Acha akajipange na plan B tuone itakuaje
 
Yaani Kwa siku inaanzia thread zaidi ya Ukraine hivi huwa mnalipwa au?
 
Putin akili ndogo hana ubavu wa kupambana na the western world wanamzidi kila kitu ila yeye anawazidi ujinga tu.

Halafu kumbe majuzi tu amenusurika kuuwawa hadi gari lake likapigwa na kuna watu wametiwa nguvuni pia kuna watu wameshaanza kudai ajiuzulu kwa sababu wananchi wanaumizwa na vikwazo.
 
Putin kajiongeza mapema na kuna washauri wamempa ushauri aachane na vita hii ambayo haitaisha kwasababu Nia ya western countries ni kurefusha vita ili Russia afilisike kiuchumi.
Nampongeza Putin Kwa kuanza kuondoa majeshi yake nyuma tunajua plan yake ya kuiteka Ukraine Kwa njia ya invasion imeshindikana Acha akajipange na plan B tuone itakuaje
Mshenzi tu yule! Ukraine inaenda kuwa one of the powerful countries in the world in terms of military. Kwao hii ni lesson learnt hawatalala kamwe wanajua wamepakana na jirani wa aina gani.
 
Putin akili ndogo hana ubavu wa kupambana na the western world wanamzidi kila kitu ila yeye anawazidi ujinga tu.

Halafu kumbe majuzi tu amenusurika kuuwawa hadi gari lake likapigwa na kuna watu wametiwa nguvuni pia kuna watu wameshaanza kudai ajiuzulu kwa sababu wananchi wanaumizwa na vikwazo.
Anaringia gesi; eti anasubiria msimu wa baridi. Jinga kweli lile.
 
Back
Top Bottom