Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana...kikubwa pima maji iwepo.
Wengi tumepita njia hiyo..fresh tuu😂Hapa ukipata matofali 500, fundi anaoandisha, yakikata mnapumzjiaika kwanza.
daah nimecheka sanaa, ukachana mbele yake bila maelezo..yeye aliona yes mwanangu subiri nimfanyie sapuraiziiMwaka mmoja nilienda home,mama mdogo akanipa karamani kama hako amepokea salary arrears anataka kupiga mjengo. Nilikachana mbele ya fundi wake
Roho mbaya hiyo..ungekaa naye mkaifanyia marekebisho kulingana na mtazamo wako.Mwaka mmoja nilienda home,mama mdogo akanipa karamani kama hako amepokea salary arrears anataka kupiga mjengo. Nilikachana mbele ya fundi wake
Nilimwambia hii plan haiko sawa,akaniuliza kwa dharau kama mimi ni engineer?Roho mbaya hiyo..ungekaa naye mkaifanyia marekebisho kulingana na mtazamo wako.
#MaendeleoHayanaChama
fresh wapi,unajenga nyumba haina layout nzuri baada ya muda unaona kikubwa nyumba tu ladha hakuna. Kama ni fundi kuweni tayari kujifunza. uzuri siku hizi mitandao imerahisisha house plan kibao gugo.Nyumba nyingi sana zimepanda kwa style hiyo halafu fresh tu.
Nyumba niliyolelewa kajenga fundi maiko na ipo poa tu. Hata style ya kibaraza tuliona cha jirani tukamuuliza Fundi Maiko akafanya namna kimekaa vizuri tufresh wapi,unajenga nyumba haina layout nzuri baada ya muda unaona kikubwa nyumba tu ladha hakuna. Kama ni fundi kuweni tayari kujifunza. uzuri siku hizi mitandao imerahisisha house plan kibao gugo.
Wakati mwingine kwenye linter fundi Maiko anakuletea nondo kwa bei yake, alikozitoa hujui lakini anakuambia ukipata hela utamlipa.Vibanda vyetu vingi tumejenga kwa namna hii ya michoro ya kina fundi maiko, au unamuita unampa maelekezo natakanyumba yangu iwe hivi, hivi na hivi imeisha hiyo, unaanza kujenga taratibu, unanunua tofali buku unapandisha mzigo, ukipata unapiga mpaka kozi ya 4,ukipata tena hivyo hivyo mpaka kibanda kinaisha [emoji2969]
Fundi maiko ashukuriwe saaana., ujenzi wa kujengewa na kampuni ama engineer sisi kajamba nani hatuwezi.Wakati mwingine kwenye linter fundi Maiko anakuletea nondo kwa bei yake, alikozitoa hujui lakini anakuambia ukipata hela utamlipa.