makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wengine mpaka kusoma ramani wanajua. Wanatoa kitu mule mule.Kuna vijana kule bush, wanapima kwa kamba lakini ukuta unanyooka. Mradi waielewe tu ramani na vifaa viwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine mpaka kusoma ramani wanajua. Wanatoa kitu mule mule.Kuna vijana kule bush, wanapima kwa kamba lakini ukuta unanyooka. Mradi waielewe tu ramani na vifaa viwepo.
Korido nyingi sana, un used spaces kubwa mno. Huu ni uchafu sio ramani. Hiyo baraza ya nyuma ilipaswa ikae upande jiko lilipo.
Hiki ni kipaji dada
Baraza ya nyuma inajengwa ambapo kuna vyoo viwili na bafu. Watu wakikaa barazani si watasikia yanoyoendelea chooni na bafuni? Au?
Mimi pia wanadai 45 ya roller 3 za nondo 12mm, kila moja @15 hatari sana.Wakati mwingine kwenye linter fundi Maiko anakuletea nondo kwa bei yake, alikozitoa hujui lakini anakuambia ukipata hela utamlipa.